Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Punguza Tungi. Mwili unapokuwa umejaa sumu ya tungi husababisha maluweluwe 'hallucinations'... Sehem ya ubongo inakuwa demaged...due to toxic.. Alcohol.
Hiyo stage ni hatari unaelekea kuwa alcoholic. Bila kunywa mambo hayaendi.
Utashindwa hata kutiana.. Utachapiwa mkeo.
Sana.Hata akishika kitu anakua anashake...! Kazini huez fanya kitu kbs ni km ubongo unakuwa umelala...! Mbaya sana aisee
Duh pole..mie siwez ht kunywa siku 2 mfululizo sitamanigi kbs hata kuzimua siwez napambana na hangover ikiisha ndo ntolee!Sana.
Mi huwa nikifululiza najipumzisha. 10 days. Mwili unarudi kuwa normal..energetic.
πππDuh pole..mie siwez ht kunywa siku 2 mfululizo sitamanigi kbs hata kuzimua siwez napambana na hangover ikiisha ndo ntolee!
Monthly!....!πππ
Unarudi tena after a week or!?
Badilisha hiyo avatarHabar wakuu
Naombeni ushauli wenu mara kadhaa imekuwa ikinitokea, kila nikilala haijalishi nalala mchana au usiku, juzi usiku nililala kushtuka usingizini najiona nimeinua mkono mmoja juu halafu nimeshika kisu nataka nijichome fahamu zinaludi vizuri najikuta nimenyoosha mkono tupu juu
Jana tena mchana wakati nimelala nakuja kushtuka mwili hauna nguvu yakufanya chochote najiona nadondoka kitandani kwenda chini nimetanguliza kichwa, fahamu zinaludi vizuri najiona nipo kitandani nimelala kawaida viungo ganzi.
ushauri wakuu hili ni tatizo gani.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa.......sawa mkuu nina wkt mgumu sana. Huwa siotagi kuwindwa au kufukuzwa na watu Ila mara kibao huwa nakutana na mazingira ya mlima na msitu mnene alafu napatashida sn kupanda ila mwisho nafanikiwa na mara nyingi kwe mahangaiko ya kupanda mlima mrefu na kwenye msitu mnene ni lazima nikutane na nyoka maana mm naogopa sn nyoka so hua ikijitokea nyoka ndotoni napata shida sn......inategemea mkuu na jinsi tukio lilivyotokea kuna nyingine huwa zinamaanisha wabaya wako wanakuzika kwa kukufukia na mchanga ukiwa hai hii inamaanisha wanakufunga kimafanikio na kuna nyingine ambazo znahusu wewe kuuawa au kuwindwa na watu usiowaelewa(majini,wanga,wanyama, viumbe vya ajabu) ndotoni na zinajirudia hii ndio unatafutwa na roho ya mauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole Sana, hayo mazingira unayoishi siyo Rafiki Sana kwako,inawezekana tatizo likawa ndani ya nyumba unayoishi au mazingira yaliyokuzunguka, suluhisho Kama umepanga kwenye hiyo nyumba basi hama lakini Kama Ni nyumba yako basi unakila sababu ya kuzindika hiyo nyumba.
Ukihama na matatizo yakaendelea basi inakupasa utumie Tiba za jadi ili ujisafishe hayo mamikosi, au usione hatari kurudi nyumbani ili wazee wakuone ikibidi unatumia nafasi hiyo kupalilia makabuli ya Babu zakoKuna mtu alihama mkoa kabisa na hayo mauzauza yakawa yanamtokea hukohuko makazi mapya: kwa hiyo nafikiri kuhama sio suluhisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu ukisali kwa usahihi hiyo hali itapotea kabisa maana mimi nilikuwa naota ndoto flani kama ya kujirusha kwenye daraja hapa ninapoishi mara nyingi sana ila nilipoanza kusali hiyo hali wala haijajirudia tenaDaaa.......sawa mkuu nina wkt mgumu sana. Huwa siotagi kuwindwa au kufukuzwa na watu Ila mara kibao huwa nakutana na mazingira ya mlima na msitu mnene alafu napatashida sn kupanda ila mwisho nafanikiwa na mara nyingi kwe mahangaiko ya kupanda mlima mrefu na kwenye msitu mnene ni lazima nikutane na nyoka maana mm naogopa sn nyoka so hua ikijitokea nyoka ndotoni napata shida sn......
AMINA πππ―Pole mkuu ukisali kwa usahihi hiyo hali itapotea kabisa maana mimi nilikuwa naota ndoto flani kama ya kujirusha kwenye daraja hapa ninapoishi mara nyingi sana ila nilipoanza kusali hiyo hali wala haijajirudia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Sali, ongea na Yesu Kristo mwombe kila siku unapoamka na kabla ya kulala. Pia nenda kwa mtumishi wa kweli wa Yesu Kristo mweleze akuombee yatakwisha.Habar wakuu
Naombeni ushauli wenu mara kadhaa imekuwa ikinitokea, kila nikilala haijalishi nalala mchana au usiku, juzi usiku nililala kushtuka usingizini najiona nimeinua mkono mmoja juu halafu nimeshika kisu nataka nijichome fahamu zinaludi vizuri najikuta nimenyoosha mkono tupu juu
Jana tena mchana wakati nimelala nakuja kushtuka mwili hauna nguvu yakufanya chochote najiona nadondoka kitandani kwenda chini nimetanguliza kichwa, fahamu zinaludi vizuri najiona nipo kitandani nimelala kawaida viungo ganzi.
ushauri wakuu hili ni tatizo gani.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app