Hamlali? Ama hulali? Ni swali la kawaida sana ambalo limeshaulizwa na members wanapokuta kuna new post hasa wanapotoka usingizini. Unajua tunapoenda asubuhi kupata staftahi ya chochote iwe chai kongolo mtori supu nk kuna watu walidamka alfajiri kuandaa ili afisa ukija upate mambo. Najua wazi...