ok, mambo iko ivii.Hii imeshatokea huku kisarawe ,ilimtokea jirani yangu Tom.Alichofanya ni kutoka nduki na kuja kutushtua sisi jirani zake,ile tunakwenda kumchek huyo mwanamke tulikuta kanga tu,mwanamke hatukujua amekimbilia wapi.Sisi pia hatukuamini,ila jamaa alisisitiza sana.Mchana tulivyokutana na yule mwanamke tulimbana ila alikataa kata kata kulala kwa mshkaji.Mimi na dhani jamaa alilala na jini,ila iweje jini huyu aache kanga? mnh huku pwani kunamamboKweli tunahitaji Mod afanye kazi yake!
Hizi story za kina Shigongo zina bore sana!
Is this even close to reality? What were you thinking to put such a **** here?
Mambo wii.Hakuna kitu kama hicho
Hilo jini kemea
Sasa ulishindwa nini kuandika hivi tangu mwanzo? 'Kama ni kweli' ...kweli kuna mambo!ok, mambo iko ivii.Hii imeshatokea huku kisarawe ,ilimtokea jirani yangu Tom.Alichofanya ni kutoka nduki na kuja kutushtua sisi jirani zake,ile tunakwenda kumchek huyo mwanamke tulikuta kanga tu,mwanamke hatukujua amekimbilia wapi.Sisi pia hatukuamini,ila jamaa alisisitiza sana.Mchana tulivyokutana na yule mwanamke tulimbana ila alikataa kata kata kulala kwa mshkaji.Mimi na dhani jamaa alilala na jini,ila iweje jini huyu aache kanga? mnh huku pwani kunamambo
nimeleta kama challenge kwa wanajamvi,je ikikutokea wewe utafanya nini?Sasa ulishindwa nini kuandika hivi tangu mwanzo? 'Kama ni kweli' ...kweli kuna mambo!
Mwambie huyo rafiki yako aende akafanye maombi, B'real ametoa ushauri mzuri hapo juu!
Vichwa vya watu vimebeba mambo mengi ndugu yangu afu wewe wataka wafikirie vitu ambavyo ni vya kusadikika, itawezekana wapi?... Haiwezekani!nimeleta kama challenge kwa wanajamvi,je ikikutokea wewe utafanya nini?
Nimekwambia afanye maombi kwa dini yake manake hicho sio kitu cha kawaida,...bila kumshirikisha mungu hapo ni bure mpendwa!..ok,umeshajua ukweli hebu mshahuri mhusika.
Afu siku ingine usirudie kupita barazani kwa watu, ona umekanyaga mkeka wetu umechafuka!mi napita tu!