Kama alivyosema
Twilumba
ila hujaelezea modem yako ni aina gani? ZTE, Alcatel,Huawei ete..etc....
uliflash na firmware ipi? na je inawaka au dead?na hiyo not found ni msg kukueleza line ndo not found au modem ndo not found?
Kama ni hizi HiLink E303 za vodacom nafkiri maelezo yake ya kuflash yapo humu jf ila yanakasoro kidogo. unatakiwa kuflash dashboard ili kuipa drivers. unaweza read dashboard kwenye ile e303 ya zamani ambayo sio Hilink na kuiflash kwenye Hilink ili ipate installation setup ambayo itakupatia drivers.