Kweli wang.....nyimbo zake adi leo zinaishi kweli n moja ya kipaji kilichopotea kabisa ukweli nimemisi sna sauti yakeyani ningekuwa nauwezo ningempa tunzo..
nyimbo yake ya "niwe wako" inanikonga hisia
yani ningekuwa nauwezo ningempa tunzo..
nyimbo yake ya "niwe wako" inanikonga hisia
Kweli wang.....nyimbo zake adi leo zinaishi kweli n moja ya kipaji kilichopotea kabisa ukweli nimemisi sna sauti yake
Alikuwa vizuri lakini wakati ukuta na vipaumbele pia husababisha mengi kaamua kujenga familia bora kama Marlaw na yule bintiKuna ule wimbo nadhani unaitwa "mapenzi ni ya wawili" ulinivutia kabla hata ya kujua kuwa aliimba yeye
Marlaw na Besta, vipaji vingine vilivyopotea kwenye Anga la MuzikiAlikuwa vizuri lakini wakati ukuta na vipaumbele pia husababisha mengi kaamua kujenga familia bora kama Marlaw na yule binti
Huu wimbo naupenda hadi kesho,pamoja na Amore wa Baby Madaha....acha tu.Kuna ule wimbo nadhani unaitwa "mapenzi ni ya wawili" ulinivutia kabla hata ya kujua kuwa aliimba yeye
Yeah Besta halafu mtoto alikuwa miss bantuMarlaw na Besta, vipaji vingine vilivyopotea kwenye Anga la Muziki
Please no! God forbid ile kitu ni hatari kuliko ukimwiKuna kipindi alikua anatumia unga....jamani hii hatari sana....me nampendaga sana huyu mdada.
Sometime najiuliza...wanamziki kutumia unga cjui wanaona fasheni ?wanakua hawapo focused na kile wanacho kifanya.Please no! God forbid ile kitu ni hatari kuliko ukimwi
best nalikumbuka lile wezele balaaaYeah Besta halafu mtoto alikuwa miss bantu
HIHIHI AAAAH MAKEBA ALIIMBA MPAKA AKAAGA BADO ANAIMBA MAUNDA BADO SAAAANA SEMA MI ALIKUWA ANANIKERA KUVAA KWAKE MIGUU ILE KAMA MITI YA GENGE I MEAN KAMA YANGU LAKINI ANAVAA VINGUO VYA AJAAABU SANA LOHAlikuwa vizuri lakini wakati ukuta na vipaumbele pia husababisha mengi kaamua kujenga familia bora kama Marlaw na yule binti
Ww ni hater tu hauna jipya ss tunaongelea mziki ww unaleta maswala ya nguo naona kama upo nje ya maadaHIHIHI AAAAH MAKEBA ALIIMBA MPAKA AKAAGA BADO ANAIMBA MAUNDA BADO SAAAANA SEMA MI ALIKUWA ANANIKERA KUVAA KWAKE MIGUU ILE KAMA MITI YA GENGE I MEAN KAMA YANGU LAKINI ANAVAA VINGUO VYA AJAAABU SANA LOH
unamaanisha miguu yake kama kuni za nyongeza!HIHIHI AAAAH MAKEBA ALIIMBA MPAKA AKAAGA BADO ANAIMBA MAUNDA BADO SAAAANA SEMA MI ALIKUWA ANANIKERA KUVAA KWAKE MIGUU ILE KAMA MITI YA GENGE I MEAN KAMA YANGU LAKINI ANAVAA VINGUO VYA AJAAABU SANA LOH