maumivu

mkuu "never trust any body" msikilizie asipo respond ilikuwa gia ya kuondokea pole sana, yani huyo ni mpenzi wake bila
ubishi angepokeaje mbele yako wakati atashindwa bana pua.

kama unaumia sana subiri aachike huko arudi kwa gia nyingine muendeleeeee usijal...!
 

Kwanza lazima ufahamu kuwa, hakuna uchumba wa miaka 4 unless unadate na mwanafunzi wa sekondari ambaye unamsubiri amalize shule.
Wanawake mara nyingi hatuwezi kuvumilia kuwa kwenye mahusiano kwa muda wote huo bila kwenda next stage. Njia ambayo mara nyingi huwa inatumika ni kutafuta mwingine, hapo sasa itategemea nani mwenye speed.
 
Haya mambo yataka MOYO kuupa ganzi,I know the pain you are feeling pole,after 3 weeks it shall be your dose so chill take the pill

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chezea one love wewe

Teh,ha ha sasa wewe sio unampoza ndo kwaanzaa unamuumizia!!lakin LoL ngoja kwa tutete yaani 1 love ni JAH au wa kumoyo?teh,haya mambo inapendeza uyasikie kwenye luninga hivi hivi yakikupata.. Hata kama ni bouncer utanywea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…