maumivu

Hivi uchumba ndio nini? Mimi naona uchumba ni kibali cha ku''do'' bila kubugudhiwa na wazazi au jamii. Kama umependa toa mahali uwe na haki ya kushika ''ugoni''.
 
Hahaha Wacha tukalewe...kesho Juma tatu lakini!

tutakuwa makini hangover isituletee tabu kwa waoloni wetu hapo kesho........

hii namba ngeni huwa sipendi kupokea......hahaa hili pozi lanchekesha hadi sa hivi!!!!
 
dah pole mkuu ila huo ni upofu ambao unao juu yake kweli mpenzi wako umemuita mahala alafu anaondoka hamjamalizana na wala huja,ruhusu yet umshindwa kumzuia asiondoke,???? Inabidi ujifunze kumcontroll kwanza mengine yatafuata
 
Imeandikwa utahukumiwa kwa maneno yako; kauli aliyoitoa demu bila kujali anao wajibu wa kumtoa mashaka yote mpenziwe ni saini tosha ya kwaheri. Jamaa kalaza damu haoi demu naye kaona hamna jipya keshaamua liwalo na liwe. Jamaa aangalie mbele na huko aendako ajirekebishe hilo ni somo elimu haina uzee
 
nina malengo naye mazuri sana kwani yeye anahitimu chuo mwakani sasa nikawa nikaamua kumlipia fremu ili atakapo maliza awe na kazi ya kufanya

hahaha hivi vitu ndo huwa vinanikera yaani kugharamia nigharamie alafu bado nipokonywe..
 
sifahamu alafu huwa cigusi simu yake madhara yake nayajua

sasa hujamuo presha na kuna baadhi ya vitu umejilimit juu yake,ukiumoa je itakuwaje?? Controll ya mwanaume juu ya mwanamke kwenye mahusiano ni muhimu sana,lifanyie kazi hilo kwanza
 
Du we jamaa kusoma hujui hata picha huoni, weweweeeee angekutana na mie asingeenda popote yaani hapo ni full ubabe hata makofi angechezea, anaondoka kirahisi namna hiyo eti simuamini thubutuuu, afu mbaya zaidi kashakula vyangu vya kutosha tena na mlipuko wa frem!!! Kweli tuko tofauti, mie na mchezo ungeishia hapo hapo. Mapenzi ya hivyo naitaga ujinga.
 


ukiona manyoya....
 
za mda tena ndugu zangu!!! asanteni kwa ushauri wenu nimefarijika sana!! asanteniiiiiii
 
pole....haujachelewa ili ujiridhishe zaidi fanya uchunguzi kupitia rafiki zake au mwite tena mahali mwambie nina zawadi yako....akifika uko mbane mpaka kieleweke.....
 
tayari mtu keshaumizwa hapa! dah haya mapenzi ya siku hz wala hayana haja ya kuyafanya yawe serious
 
miaka minne una gegeda tu mtoto watu...kaona bora atafute One Love
 
Kwanini miaka minne ya uchumba mkuu,2 years is maximum(at most as put forth by realationship researchers).
Muite mkae chini mzumgumze achague moja kuwa nawewe au one love!damn!
 
dah, yaani haya mambo ni noma!
Ila lyf goes on,bora kakuonyesha mapema!
 
Rule One; never ever trust a wh0re. Shukuru umeona makucha yake mapema. But dayuumn four years? utafikiri fixed deposit ya Stanbic yenye 11%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…