Mkuu umeniwahi sana, uchumba wa miaka minne huwa siukubali sana tena^^
Yuko sahihi...Miaka minne mnasubiri kupaa mbinguni
^^
Ni mpenzi au mchumba?kiongozi yeye yuko chuo mi mfanyabiashara pia nasoma masomo ya iOPEN UNIVERSITY
ndugu wanajf jana yamenipata kile kilio cha wengi Usaliti, nina mchumba ambaye nimedumu naye kwa miaka 4 sasa,jana mida kama saa 8 mchana ivi nilimpigia simu aje mahala ili tuongee kidogo,
Kweli akafika ile tumekaa mara simu yake ikaita jina One Love hakuipokea ile namba ikapiga tena!!nikamuuliza vipi mbona hupokei simu yako? hakunijibu akanyanyuka na kuondoka huku ananiambia NAONA HUNIAMINI!!
Niko njia panda nahici maumivu ya moyo
^^
Yuko sahihi...Miaka minne mnasubiri kupaa mbinguni
^^
kiongozi yeye yuko chuo mi mfanyabiashara pia nasoma masomo ya iOPEN UNIVERSITY
anabidi nicheke
hivi uchumba una time frame?
^^
sometimes timeframe inatakiwa....mambo mengi hutokea ikikosekana committment ikiwemo mistrust
^^
Hahaaa msichana wako she is very tricky aliijua kosa linaweza kua lake lakin kageuza kibao kuwa humwamini
na ukiongea nae tu atakuwa anakublame kuwa siku hizi huniamini!!!!!!!bla bla kibao.............
Ye unajua kakusevuje kwenye sim yake!!!!!!!!!!!!!!
Hivi uchumba una time frame?