maumivu

Wanyamtura

Member
Jan 23, 2012
23
1
naombeni msaada nina mpenzi pata miaka mitano sasa, ila kila tukiduu napata maumivu makali baada ya kumaliza paka kesho yake nakunywa dawa za maumivu, ila kunastaili akiniweka ndiyo naumwa siku tatu, kifo cha mende sipati tatizo ila hizo stail zake ndizo zinanisababishia maumivu sana na pia akiniweka miguu yangu mabegani mwake, kesho inakuwa noma ata job sikwendi, mwanzo nilijuwa sababu mpz wangu anakunywa pombe inamfanya atumie muda mwingi kufika kileleni ndiyo napata maumivu, ila siyo kwani siku hizi hanywi kabisa ila napata shida. Je hiyo issue itaniletea matatizo baadaye? na nilikwenda kucheki labda nitakuwa na kasolo ila Dr waliona hakuna shida. wapendwa naombeni msaada jamaa nampenda atakama naumia
 
You will get used to those styles soon,
it seems like your body have never tried those style thats why you are having pains.
 
Pole sana.

Wewe uko too dry. Jaribu lubricants kama KY Jelly wakati anakuingilia. Nina uhakika kama una apply hiyo utapata raha na utapona na maumivu. Good luck. Keep on doing it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom