Maumivu yasiyosemwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,463
Reaction score
860,336
Marafiki wamekutenda huwaamini tena!

Mpenzi kakusaliti ila huwezi kumuacha.. Unakumbuka mengi mlikotoka na mlipo.. Changamoto mlizopitia na nyakati za furaha mlizomosiana

Inaumiza sana! Huna wa kumuamini tena.. Huna wa kuongea naye
Unabaki na maumivu mengi ..Unatafakari future unawaangalia wanao🥱 hawa ndio nguvu yako
Hawa ndio furaha yako
Hawa ndio tumaini lako
Watakuja wengi na kuondoka lakini hawa ni wako daima dawamu.. Ukiwaza haya unapata nguvu ya kusimama na kusonga mbele!

Hakuna asiyehitaji upendo na kujaliwa.. Upweke unatesa sana
LAKINI kama una watoto jitambue una furaha na tumaini na amani

 
Usinikumbushe mshana jr maana niliwahi kupenda sana mpaka nikafikia kumuita mama yule mbwa,kilichonitokea mpaka sasa maumivu ninayo moyoni,ila nashukuru nimempata MKM wangu ananifariji ila niko nae kwa tahadhari yasinitokee ya kunitokea kama Lucy alivyonifanyia
 
 
Kuchapiwa ni Siri ya ndani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…