Wakuu wana MMU, natanguliza heshima na salamu,
Kuna jambo linanitatiza sana nafsini mwangu na dhamiri yangu inanitesa sana. Miaka mitatu iliyopita mpenzi wangu alikuwa nje ya nchi kwa masomo. Na kama ujuavyo wanaume wengi kukaa mwaka mzima inakuwa ngumu bila kupata huduma ya chakula cha usiku. Hivyo siku moja nikakutana na dada mmoja kipindi hicho alikuwa anasoma chuo. Baada ya kufahamiana kwa kweli nilimzimikia sana, alikuwa mzuri in all aspects. Anatoka kanda ya kaskazini, mweupe natural, mnene kiasi mguu wa bia na kifuani mzigo wa uhakika uliosimama (bado haujalala). Uzalendo ukanishinda nikarusha ndoana, aaah ikanasa. Mara tukajikuta katika mahaba mazito sana.
Kabla ya kukutana kimwili
Alikuwa akipenda sana kuchat na mimi na wakati mwingine hupenda tufanye phone sex, tunachat kimahaba mpaka mtu unalegea. Siku moja akaniuliza ninapokaa, nikamwelekeza na haikuwa ngumu kuelewa ninapokaa. One day, usiku majira ya saa nne usiku nikiwa nimeshalala, akanikumbusha tena ninapokaa, akaanza kuniuliza
Lady: Hapo kwako kuna nguzo ya Tanesco mbele ya nyumba?
Mimi: Yes,
Lady: Kuna miti miwili mbele ya nyumba?
Me: Yes, vipi umejuaje?
Lady: Nilipita mchana hapo nilikuwa naenda sehemu nikakumbuka ulivyonielekeza. Na kuonyesha kuwa nimepatia nilikuwekea zawadi mlangoni umeiona?
Me: No sijaiona maana natumia mlango wa uani, for security purpose.
Lady: Ok, basi kaangalie
Nikatoka fasta kuona kama ni kweli, kufungua mlango, nakutana naye uso kwa uso mlangoni (amekuja bila kuniarifu. Wakati huo tulikuwa tumeshachat sana kimahaba kiasi kuwa bunduki ilishajikoki sana. Hapo ilikuwa tayari saa tano usiku.
Ninachokumbuka usiku ule sikuwa na zana za kazi na maduka yalikuwa yameshafungwa na sikuwa na mbinu yoyote ya kupata zana. Nikapiga moyo konde, nikachukua risk tukacheza peku. From there, ikawa ndo mwanzo wa penzi letu, na lilikomaa na kufikia hatua ya mimi kuchanganyikiwa maana alivyokuwa ananipelekesha hata mpenzi wangu hafiki hata nusu. Japo it was too late kwa kutokutumia kinga siku ya kwanza, niliamua kwenda naye kupima, bahati nzuri majibu yalikuwa mazuri, nilishukuru sana.
Nikiwa nimeshmsaliti mpenzi wangu nilikuwa tayari kama ingewezekana huyu ndo awe mke wangu, nikamwambia kilichopo moyoni, alinikata maini kwa kunijibu kuwa yeye ni mke wa mtu na ana mtoto mkubwa tena anasoma darasa la pili. Roho iliniuma sana kwani hakuwahi kuniambia, na alikuwa havai pete yoyote mkononi mwake. Kwa mahaba aliyokuwa ananipa nilichanganyikiwa kabisa, huku nikiwaza kuwa mke wa mtu sumu. Fine, tuliendelea kuwa na mahusiano lakini nikiwa addicted tayari. Penzi letu liliishia baada ya yeye kumaliza masomo yake na kurudi kwao. Alikata mawasiliano kwa kiasi kikubwa japo alikuwa ananikumbuka mara chache sana.
Kilichonileta hapa jukwaani ni kuwa baada ya kuachana nimejitahidi kusahau lakini nimeshindwa. Nikiwa na mpenzi wangu nafanya tuu kama kutimiza wajibu lakini haiko moyoni. Mbaya zaidi imenisababishia kutoka na wengine lakini bado sijakutana tena na mwanamke wa kunifikisha japo level yake. Nimekuwa addicted to her, wakati mwingine nikiwa peke yangu nawaza mpaka najikuta nalia machozi ya uchungu wa kile nilichofanya na yeye, jinsi alivyochelewa kuniambia kama ana mume. Kinachiniumiza sana ni kuona kuwa sitakutana naye tena, japo ananipigia simu na ananiliwaza wakati mwingine kwa kunipa matumaini ya kuonana.
How can i go through this psychological and emotional problem? Natamani sana kufuta kumbukumbu zake nimeshindwa.