Maumivu ya tumbo chini ya kitovu after sex

Mbrazili

JF-Expert Member
May 7, 2013
649
90
Habari wakuu...naombeni mnijuze kitu kimoja kinanikwaza hapa....nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti kwa wakati tofauti pia,..kila baada ya kufanya mapenzi kesho yake lazima mdada aniambie anaumwa na tumbo chini ya kitovu...Naomba mnieleweshe nini kinasababisha hii hali???...
#shukran
 
Mmmhhhh!!! we utakuwa unandefu ww... hadi inawafika tumboni.
 
Inaweza kuwa STI au UTI. Nendeni wote hospitali mkapime mkojo-ikiwezekana urinalysis for culture and sensitivity test.
 
Mkuu ndo wote hao watakuwa na UTI??...Mana ni zaidi ya wanne wamewahi kunambia hii kitu....afu io STI nielezee ndo ikoje ikoje??
 
Mmmhhhh!!! we utakuwa unandefu ww... hadi inawafika tumboni.
kama ndo hivyo kwanini wasiseme palepale wanapoona jamaa anataka kutokea utosini wanasubiri mpaka kesho?
japokuwa kwenye wazo lako kuna mantiki.
 
Inawezekana akawa na allergy na shahawa zako au akawa na viumbe kwenye via vyake vya uzazi
 
Mkuu ndo wote hao watakuwa na UTI??...Mana ni zaidi ya wanne wamewahi kunambia hii kitu....afu io STI nielezee ndo ikoje ikoje??
Mkuu inaonekana unatumika sana WANNE angekuwa demu watu hapa jukwaani wangeshamwita MALAYA, CHANGUDOA, KAHABA e.t.c lakn kwa kuwa ni wewe Mbrazili bila shaka utaitwa "JEMBE" Anywayz ngoja waje wataalam mie nilichepuka kidongo nje ya topic
 
Punguza hiyo idadi ya hao wapenzi kwanza!
Zaidi ya wanne, duhhh!
Back to topic,
Inawezeka unapenda kutumia style fulani wakati wa kusex, may be uliiona kwenye pornograph au unaipendelea kwa sababu inakupa raha sana (inakufikisha kileleni kwa wakati).
So check out with that, please.
 
Mkuu Sibhonike umenielewa visivyo....nimesema wadada tofauti kwa wakati tofauti.....yani nazungumzia vipindi tofauti tofauti toka nianze kufanya mapenzi....si unajua break up katika mapenzi ni kitu cha kawaida hata wanandoa wanaachana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inaonekana unatumika sana WANNE angekuwa demu watu hapa jukwaani wangeshamwita MALAYA, CHANGUDOA, KAHABA e.t.c lakn kwa kuwa ni wewe Mbrazili bila shaka utaitwa "JEMBE" Anywayz ngoja waje wataalam mie nilichepuka kidongo nje ya topic

Mkuu Cognitivist unanionea bure....umenielewa vibaya....nimemaanisha tangu nimeanza kufanya mapenzi hadi hivi leo.....na si kwamba hao wote ndo niko nao kwa wakati mmoja duuuugh
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu...naombeni mnijuze kitu kimoja kinanikwaza hapa....nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti kwa wakati tofauti pia,..kila baada ya kufanya mapenzi kesho yake lazima mdada aniambie anaumwa na tumbo chini ya kitovu...Naomba mnieleweshe nini kinasababisha hii hali???...
#shukran

Jitahidi uwe unawafikisha kileleni!! Usiwaache njia panda, yaani ile anaanza kupandisha kilele we unamaliza. Kile kitendo cha yeye kuhangaika kurudisha ule mzuka alokuwa nao kwenye hali ya kawaida wengi huwasababishia maumivu makali ya tumbo muda mfupi baada ya tendo na huongezeka na kuwa serious zaidi.(This is not scientifically proved, but take it from me!!)
 
Mh....mbona mpaka wanasema wenyewe nimalize???....kama wao wanaomba wenyewe nimalize si ina maana wamefika safari au yao?????.....Au unataka niambia huwa wanafake vilele???....kama ni hivyo naweza anza pata picha kuwa huwa wanahisi maumivu wakati huo huo
 
Ongeza bidii zaidi kuombwa ushuke ni ishara ya yeye kutofurahia kitu anataman bora umwondolee mzigo juu yake. Kama amefika vizuri wala haihitaji darubini!!
 
Shukrani sana jamaa...kuna kitu nimepata kutoka kwako nashukuru sana kwa mtazamo wako yani hapo nisipolifanyia kazi ilo ntakuwa mzembe mwenyewe
 
Mh....mbona mpaka wanasema wenyewe nimalize???....kama wao wanaomba wenyewe nimalize si ina maana wamefika safari au yao?????.....Au unataka niambia huwa wanafake vilele???....kama ni hivyo naweza anza pata picha kuwa huwa wanahisi maumivu wakati huo huo

Khaa! Mbona unafanya mchezo kuwa mgumu?
Hiyo issue yako (kama ulivyojieleza) ni mambo mawili tu makuu:
1 unaoversize!
2 huwafikishi kileleni! Ke kukuambia 'basi/inatosha/nimechoka' haina maana ya moja kwa moja kuwa amefika kileleni!
 
Ongeza bidii zaidi kuombwa ushuke ni ishara ya yeye kutofurahia kitu anataman bora umwondolee mzigo juu yake. Kama amefika vizuri wala haihitaji darubini!!

Umeonaee! Huyu mbrazili kakremu! Akiskia 'shuka' ndio anaona kamfikisha mwenzie!
 
Mashaxizo mapenzi ni sanaa kubwa,tunatofautiana ujuzi....na ndio maana nikalileta hili suala hapa kwa wengi....nashukuru mmenifumbua macho....shukrani wakulu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom