jungle boy
Senior Member
- Aug 6, 2015
- 107
- 27
Habarini za weekend wandugu wapendwaaa?
Naomba tupanuane mawazo katika jambo hili.
Mara nyingi watu hutendwa katika mahusiano yaweza kuwa mahusiano ya mke na mume au ya mtu na mchumba wake.Mtu akitendwa katika hatua ya uchumba wengi wetu huumia saanaa na wakati mwingine hufikia hatua ya kumchukia aliyemtenda na wengine woote wa jinsia hiyo iliyomtenda, wakati mwingine maumivu huzid kipimo hali ambayo huleta majeraha ya moyo.
Utajikuta husikii hamu ya kula,,siku nzima hujanywa maji lakin hata kiu husikii kweli huumiza wengine huapa sitokuja kupenda tenaa na wengine kila wanapokumbuka walivyotendwa hujihis kububujikwa na machozi its so painful...
Sina maana kuwakumbusheni machungu mliyoyapata mimi nikiwa mmojawapo...
Katika hali hii ya uchumba wengi huvunjika moyo na hata kutotamani kuingia tena kwenye mahusiano.Lakini pia la kujiuliza hapa uyu nayemlilia ndie angenifaa hapo baadae asingenifanya nije nijute zaid katk ndoa?
Katika hali hii huwa hakuna kukumbuka maswali kama haya ni kwa sababu ya kuamin uyu ndie angekuwa wangu daima..Lakin ni jambo la maana pia kutafakari endapo uyu aliyenitenda hiv kama angenitenda ndani ya ndoa ingekuwa bora au ingekuwa maumiv plus.
Nisiwachoshe sana nirudi kwenye topic kutokana na maelezo hayo hapo juu.
Je nikipi huumiza zaidi kutendwa kwenye uchumba au kutendwa ndani ya ndoa?
Au maumiv ni yale yale.
Karibuni wana jamvi tulibabadue hili.
Naomba kuwasilisha.
Wenu Jungle boy