MADIDINGWA
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 118
- 15
picha ziko wapi kaka angu zilete kwa jamvi tuzione tukushauri!
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
kwahiyo unamaanisha ammege kwanza afu atafakari manake bikra haipimwi na bikari mpaka mambo flani amaHukumkuta bikra na hizo ni picha tu. Kitendo cha huyo jamaa kukutumia picha ni kutaka kukuudhi na kumharibia huyo binti. Kama kweli unampenda basi hizo picha zichane tu au zidelete kisha muendelee na penzi lenu. Nina hakika hatafurahia kuona bado mko pamoja.
nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
Alikua amepigwa staili gani?! ......
sikia mbaba mkandamize na ww alafu mpige picha na video then mtumie kama anampenda ataacha hapohapoNimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?