mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Wenzangu natumaini hamujambo,
Ametukuka yule mbora wa kuumba aloumba ulimwengu na sisi tuliomo katika ulimwengu
Siku ya leo mwenzenu mungu kanipa mtihani mkubwa unyonge wangu nililimbikiza kwa muda wa zaidi ya mwaka na nusu hatuli vizuri wala kuvaa vizuri mimi na mke wangu na watoto ili tupate kijibanda angalau nisitirike na watoto wangu tu pamoja na mke wangu nguvu nyingi nilizozipoteza ni kweli nilifikia malengo na nikajenga nyumba ya vyumba vi 4.
Na ilikua imeshafikia kozi 8 nilikua nimeshakopa na kutafuta saruji nondo na kokoto na bati ili niweke vyumba viwili nikae na watoto maana nyumba ya kupanga nimeshapewa notes nihame.
Mungu si athumani leo imenyesha mvua nyumba yote imebebwa na maji hakuna jiwe lililokamatana na mwenzake hakuna tufali lililoshikana na mwenzake jitihada zangu ni bure nyumba haipo na shida ipo ni kweli wa moja ni wa moja tu.
INNA LILAHI WAINA ILAIHI RAJIUN