nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
​wote wanaumia
Mungu asikujaalie lakini yanauma hayaelezeki unaweza lia bila kupigwa na machozi yatakutoka hata mbele za watu,inauma na hata kuelezea inaumaje hakuna atakae kufahamu ila alie pitia.....Hivi maumivu ya mapenzi ndo yakoje? Yapo kama migraine headaches?
Na unaweza tu ukameza ibuprofen yakatulia?
nilivyoona tu hii post nikajua ni junior xpert memberHabari ya mchana wana JF,
Hivi ni nani huumia zaidi kati ya mtu mume na mtu Mke Mara mahusiano yao ya kimapenzi yanapovunjika?
..hili swali lina jibu kweli??
nilivyoona tu hii post nikajua ni junior xpert member