Maumivu ya mapenzi na msiba, yapi makali zaidi?

Maumivu ya mapenzi na msiba, yapi makali zaidi?

Mtanzanika

kweli hayajakupata, maumivu ya kufiwa unayafananisha na yamapenzi?
 
Last edited by a moderator:
Huyu hajawahi kufiwa wala kupata maumivu ya mapenzi anataka kupata uzoefu

Yani msiba wa yeyote uufananishe na maumivu ya mapenzi, we unakula bangi

Mtu uliyekutana naye wala si ndugu yako akuache uumie kama umefiwa, wewe milembe inakuhusu

Msiba ni msiba tu hautakaa uzoeleke wala kufananishwa na chochote
Subiri siku ufiwe utajua
 
Back
Top Bottom