somba kankara
Member
- May 6, 2012
- 84
- 13
Amani huletwa na nini?
sasa ukienda field hali ni tofauti kabisa wengi huwa wanadefine terms and condition wakiwa tayari wapo ndani kwa maana yakwamba wameshaingia kwenye mahusiano na hivyo muda ukawa unawaponya wakajikuta wanapendana kihisia kuliko kiuhalisia.
....aisee nmependa watu wanavotiririka kwenye hii issue. ni shule tosha kwetu. gfsonwin nakubaliana nawe 100%, kwani tunapoanza mahusiana ni kama mtu anapoingia mkataba. huwezi sign mkataba bila kudefine its terms & conditions kwani itakuja kula kwako....
Tuko ni kosa sana kufananisha mapenzi hivi kwani maisha ndiyo yenye ups and downs ila mapenzi yako very genuine kwamba you love thats it ishu ni kwamba tunapendea wapi na kwanini?Mapenzi ni kama kuendesha gari. Siku nyingine ugonge, uvunje taa, kioo nk. Siku nyngine ipate pancha. Siku nyingine ipate ajali, achakae kabisa. Siku nyingine uichoke... Siku nyingine uchukue tax!!!
Maumivu ni part and percel ya mapenzi, they come together...
Hapo ndipo nilipokuwa nataka tupajadili nini cha kufanya ingawaje suala la mahusiano ni complex sana ...
Kwa sehemu ningeweza kufikiria yafuatayo ingawa ningependa kupata mawazo ya watu wengine zaidi ...
1. Kuchunguzana kabla na kisha kuifundisha nafsi na mioyo iwe na uwezo wa kusema 'no' kwa yule mwenye tabia mbaya
2. Kupunguza papara za kujiingiza kwenye mahusiano bila maandalizi
3. Vijana wajifunze kupenda na siyo kutamani
4. Kuondoa dhana ya mtu atabadilisha tabia wakati umeshaziona dalili za mvua
.... nk
Hapa unaweza kuendeleza na za kwako!
Tuko ni kosa sana kufananisha mapenzi hivi kwani maisha ndiyo yenye ups and downs ila mapenzi yako very genuine kwamba you love thats it ishu ni kwamba tunapendea wapi na kwanini?
amani huletwa na vitu vingi sana hasa mazingira mazuri kama vile afya, usafi wa mwili na mazingara zunguka, ulinzi nk vyote hivi kwa pamoja huzaa furaha na upendo.
HorsePower nikumbushe kesho kuchangia hii mada ka ufanisi na utulivu sasa hivi SWAUMU IMENIKAZAAAAAAAAAAAAAAA KWELI KWELI HAT AKEY BOARD SIIONI HorsePower
na hili ndio tatizo kubwa sana kwa vijana na wengi sana. nilijaribu sana kuchunguza nikagundua kwamba wazee wa zamani waliokuwa wanachaguliwa wachumba walikuwa wana advantage ya kupate aina za wake ambao ni wavumilifu sana na wenye tabia walizotaka ukicompre na sisi tunaochagua wenyewe.