Maumivu wakati wa haja ndogo

Nov 27, 2013
35
15
Habar zenu wa dau

Kwa mwenye kuelewa nini sababu yakupata maumivu wakati wa haja ndogo na nini ni tiba yake atujuze maana ili tatzo lilishanitokeaa

Natangulizaa shukran
 
Kama lilishakutokea uliponaje?
nilidhani ni mara ya klwanza kukutwa na tatizo kama hilo!
Jaribu ushauri wa Joseverest
 
Je haja ni kavu? Kama ni kavu sana lazima utapata maumivu wakati wa haja. Kitaalamu wanaita constipation (haja kavu). Labda ueleze vizuri hayo maumivu kwa msaada zaidi
 
Mie mlinzi. Hapa kumekucha ndio kwanza nashtua na kiporo cha pilau.
(Haja ndogo haiwezi kuwa kavu, labda useme nzito bwana. Lala tu)
Hata mharo mzito. Hapo nimeongelea kiasi cha maji kwenye haja.
Wewe jipu. Unachat lindoni? Nategemea kusikia umevamiwa leo
 
Hahaha lugha gongana. Tumshauri anywe maji mengi basi ila akapime na gono.

Im out of here
#Hapakazitu
Hata mharo mzito. Hapo nimeongelea kiasi cha maji kwenye haja.
Wewe jipu. Unachat lindoni? Nategemea kusikia umevamiwa leo
 
Back
Top Bottom