Natanguliza salamu wakuu,
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisumbuliwa na mgongo na nina umri wa miaka 26, nimeshatumia dawa kwa nyakati tofaut lakini bado sijapona!
Maumivu huwa nayapata pindi;-
-Nikikaa sehemu kwa muda bila kuegemea sehemu
-Asubuhi nikiwa naamka
-Nikisimama kwa muda mrefu sehemu moja (ila hii ni mara chache)
Natanguliza shukrani wakuu
Jamani naomba kuuliza.
Baba yangu ana matatizo ya mgongo kuuma yani akikaa sana chini bila kuegemea akiinuka analalamika mgongo .
Hii inatokana na nini mwenye uelewa please.
Habari wadau,
Naomba ushauri wapi nitapata dokta mzuri wa misuli especially ya mgongo. Kwa miaka mingi nimetatizwa sana na maumivu ya mgongo, miaka karibu nane. Sijawahi kupona. Nimezunguka hosp nyingi mjini na kufanya xray, ct scan na MRI lakini structure ya mgongo haijaonekana na tatizo lolote.
Hivi karibuni nimekuja gundua tatizo langu haswaa sio mgongo bali kuna msuli wa mgongoni ndio ambao unaniuma sana sana.
Ushauri ninaoomba ni;
1. Nirudi kwa madokta walewale wakubwa nliopitia kujieleza upya kuwa tatizo langu sio mgongo bali mfupa? Nimepita aghakhan mara mbili na specialists tofauti, hindu mandal, Ami na a few clinics na nimefanya sana physio.
2. Naomba ushauri wa doctor mzuri sana specifically kwa misuli na nature ya tatizo langu.
Ushauri pls.
Mkikosa Dawa Huko Hospitali za kuweza kuwatibu Maradhi yenu .Nitafuteni mimi dawa ya kuwatibu maradhi yenu ninayo mukihataji matibabu yangu bonyeza hapa.MawasilianoNami pia,Msaada dawa ya lowback pain.
Maumivu makali chini ya mgongo,
karibuni.
acha utapeli na dawa zako za uongo.
Kila mwenye tatizo maelezo yako ni hayahaya tu.
Pole sana..mara nyingi hilo tatizo huwa linaanzia kwenye uti wako wa mgongo..kuna kuwa na tatizo katika nerves zako...waweza kutumia dawa za asili ni bora zaidi lakini kitanda cha Nuga best humaliza hilo tatizo kwa haraka sana...waweza kuwasiliana nami kama upo dar unaweza kupatiwa huduma hiyo...0653299934