Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Wakuu heshima mbele,
Nimekuwa nasumbuliwa kwa takriban muda wa wiki 2 hivi sasa na tatizo la maumivu kwene hip muscle. Mwanzoni ilianza kama maumivu ya hip muscle na baadaye yameshuka mpaka kwene goti kwa pembeni yake. nilijaribu kutumia some muscle relaxation drugs bila mafanikio. Kwa ka-research kafupi nlikofanya nimeona huenda ikawa ni ITB (iliotibial) muscle ambayo naona inalink baina ya hip up to maeneo ya goti kwa pembeni.
Kwa maelezo hayo mafupi ni matumaini yangu nitapatiwa mawaidha yenye kusaidia kutoka kwa wenyewe wenye fani husika ya utabibu huu wa muscles.
Natanguliza shukran.