le madame
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 476
- 263
Nawasalim kwa jina la anayetupa uhai, nianze kwa kusema tuu, ni mjamzito wa miezi 8 na wiki mpaka sasa, hivi karibuni nimeanza kuhis maumivu makali yanayoanzia chini ya kitovu mpaka sehemu za siri, naomba kuuliza, jee ndo mambo tayari au kuna vinginevyo, na kuanzia wiki ya ngapi naweza leta hiki kiumbe duniani, natanguliza shukran za dhati wapendwa