MPEPE Senior Member Joined Oct 20, 2012 Posts 155 Reaction score 65 Oct 29, 2012 #1 Maumivu kwenye njia ya mkojo hasahasa wakati wa kujamii na muwasho kwenye pumbu.tatizo ni nini na nifanyeje? Umri wangu ni 24yrz na jinsia ni ME
Maumivu kwenye njia ya mkojo hasahasa wakati wa kujamii na muwasho kwenye pumbu.tatizo ni nini na nifanyeje? Umri wangu ni 24yrz na jinsia ni ME
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 712 Oct 29, 2012 #2 Jf bana ushasema muwasho kwenye pumbu,afu unasema tena jinsia ni ME lol!kaoge maji ya baharini inawezekana una fungusi
Jf bana ushasema muwasho kwenye pumbu,afu unasema tena jinsia ni ME lol!kaoge maji ya baharini inawezekana una fungusi
MPEPE Senior Member Joined Oct 20, 2012 Posts 155 Reaction score 65 Oct 29, 2012 Thread starter #3 Haya bana,shukrani kwa ushauri wako courtesy
Lateni JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 676 Reaction score 335 Oct 29, 2012 #4 Inawezekana ukawa na magonjwa ya zinaa, wahi hospitalini doctor ndie atakaekueleza kwa uhakika juu ya tatizo lako. na kama una mpenzi nenda nae ili mkapimwe wote , maana magonjwa ya zinaa kwa wanawake huchelewa sana kujitokeza. pole.
Inawezekana ukawa na magonjwa ya zinaa, wahi hospitalini doctor ndie atakaekueleza kwa uhakika juu ya tatizo lako. na kama una mpenzi nenda nae ili mkapimwe wote , maana magonjwa ya zinaa kwa wanawake huchelewa sana kujitokeza. pole.
Imany John JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 2,937 Reaction score 1,192 Oct 29, 2012 #5 kumbe wanawake wanamakende
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Oct 29, 2012 #6 kama sio fungusi ni ugonjwa wa zinaa... hebu click hapa unaweza kupata jibu kwa gungusi https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/346213-dawa-kiboko-ya-minyoo-na-fungus-sugu-home-made.html
kama sio fungusi ni ugonjwa wa zinaa... hebu click hapa unaweza kupata jibu kwa gungusi https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/346213-dawa-kiboko-ya-minyoo-na-fungus-sugu-home-made.html
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,468 Reaction score 814 Oct 30, 2012 #7 Tafuta dawa moja inaitwa azwork hii ninoma kwa tatizo kama lako naamini itakusaidia
J jembe12 Member Joined Oct 18, 2012 Posts 58 Reaction score 7 Oct 30, 2012 #8 Mkuu dawa ya miwasho nimeshatowa ipo umu embu tafuta BEE POLLEN SOAP,BEE POLLEN SAVON,hzo kiboko ya miwasho unaweza ni pm hpa 0773043764
Mkuu dawa ya miwasho nimeshatowa ipo umu embu tafuta BEE POLLEN SOAP,BEE POLLEN SAVON,hzo kiboko ya miwasho unaweza ni pm hpa 0773043764
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Oct 30, 2012 #9 Kwanza umewowa au unajamiana na wale madada powa? Kacheki mkojo utakuwa umeambukizwa UTI
A ADK JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 2,236 Reaction score 810 Oct 31, 2012 #10 Nenda hospital achana na longo longo za humu jf
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,905 Reaction score 28,061 Oct 31, 2012 #11 Maombi vipi mkuu umeshajaribu..huenda unahitaji maombi...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,178 Reaction score 69,685 Oct 31, 2012 #12 Tedo salute,maombi ni muhimu maana dushelele linahitaji utulivu sana.