Maumivu katika Magoti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu katika Magoti

Discussion in 'JF Doctor' started by mjinga, Mar 5, 2012.

 1. m

  mjinga JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana JF, tangu mwaaka jana ninasumbuliwa sana na maumivu ya magoti. Madaktari ambao nimewaona wameshindwa kunipa ufumbuzi. Maumivu huwa yananinza Mara ninapocheza mpira Mara kwa Mara. Maumivu yakinianza inaniwia vigumu hata kupanda ngazi. Naomba Msaada wenu wataalamu
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  mkuu kama unatumia punyetu ahca kabisaaa, punyeto ni moja ya sababu ya maumivu ya goti:eyebrows::eyebrows:
   
 3. m

  mjinga JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu mbona nimeoa kaka. Umri wangu sio wa punyeto
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wewe una hitaji regular exercising. Hiyo kucheza kimanati ndiyo inayo kuletea maumivu.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Maumivu kwenye viungo mara nyingi usababishwa na kuumia kwa hayo maeneno yanayo uma, na kusababisha ligaments, pamoja na vilainishi kwenye viungo kulika na kusababisha maumivu, na hii upelekea zile elastic tissue na mifupa kupata msuguano na kusababisha maumivu... Hali hii ikiendelea itasababisha uvimbe ndani kwenye magoti na kupata ugonjwa wa arthritis na madhara mengine mabaya kama vile kuvimba kwa tissue, na kukusababisha madhara ya muda mrefu sana.

  Ushauri ni kuwaona wataalam wa viungo kabla mambo hayaja haribika, maumivi ya viungo mara nyingi uchukuwa miaka mingi sana kupona. Usitishike, kwani ujachelewa sana, waone wataalam watakusaidia.
   
 6. lidoda

  lidoda JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Asante kwa Ushauri, unaweza Kunipa Ushauri wa kumwona dr? Yaani hospitali na Jina la daktari
   
Loading...