Maumivu baada ya kukojoa

Maumivu baada ya kukojoa

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,082
Reaction score
1,915
Habari zenu JF doctors, naumwa sana nikikojoa mkojo hautoki, wote unakua kama unabaki ndani ya kibofu halafu napata maumivu makali sana.

Nimeenda hospitali wameniambia nina U.T.I, wameniandikia sindano na dawa lakini bado hali inaendelea. Nifanyaje jamani, kuna aliyepitia hali kama hii na je, ulipona kwa njia gani?

Asante.
 
Subiri umalize na dawa pia jitahidi choo unayotumia iwe clean muda wote nyie wanawake maungo ni rahisi sana Escherichia coli au E COLI kuingia tofauti na sisi wanaume ushauri wangu ni huo tu
 
Kachunguze pia the way unejisafisha ukitoka haja ndogo ao kubwa !!!.... In another way; try to be clean with safe tools !!. Mwenyezi Mungu Akuponye
 
Hali kama hiyo naipataga nikiwa na joto kali hiyo ni baada ya kucheza mpira na kutoa jasho alafu kunywa maji ya baridi mda huo huo.
Hapo lazima mkojo ugome kutoka japo hamu ya kukojoa ipo.

Kuna sidhano nachomaga alafu ina isha au narukaga kichura chura
Habari zenu JF doctors, naumwa sana nikikojoa mkojo hautoki, wote unakua kama unabaki ndani ya kibofu halafu napata maumivu makali sana.

Nimeenda hospitali wameniambia nina U.T.I, wameniandikia sindano na dawa lakini bado hali inaendelea. Nifanyaje jamani, kuna aliyepitia hali kama hii na je, ulipona kwa njia gani?

Asante.

Sent from my ZTE BLADE A512 using JamiiForums mobile app
 
Mkiambiwa mtunie kondom mnaona mnakosa utamu. Hayo Sasa ndio matokeo ya nyama kwa nyama.
Vile vile Hilo tatizo huletwa na MTU anayeingiza barabara ya vumbi Kisha bila kuoga akachomeka ukweni.
 
Mkiambiwa mtunie kondom mnaona mnakosa utamu. Hayo Sasa ndio matokeo ya nyama kwa nyama.
Vile vile Hilo tatizo huletwa na MTU anayeingiza barabara ya vumbi Kisha bila kuoga akachomeka ukweni.

Ni kweli kabisa. Sema tu mikondom nayo bana dah.. yaani mtu unafanya basi tu lakini kiukweli pale hamna kitu
 
Back
Top Bottom