Maumbo ya wanawake wakimbizi yabomoa ndoa za watu Kigoma

Mwanamke wa kiha ànajua kulinda ndoa yani ukioa muha au mbena au mfipa huwezi kujuta hata ukiishiwa atakuvumilia kiukweli kuwanyanyasa wanawake wa hayo makabila ni kuwaonea bure,
 
Muha haponi mbele ya mwanamke mwenye sifa zote za mwanamke ,kuna kuna mwingne ni mwanamke, sifa muonekano lkn ana sura ya baba ,hata mm nakwenda kg kuoa mkimbizi,povu sitaki
 
Hata watutsi wa kinyarwanda wote kuanzia rusumo, kirehe, nyakarambi, kayonza, rwamagana, kigali, ruhengeri hadi gisenyi wanamaumbo mazuri lakini wewe usie mtusi utateseka sana ukimuoa labda ukute mcha mungu. Hao wanawezana wao kwa wao.
 
Mbona hao wanawake wa kirundi hawana tofauti na waha wenyewe? wanafanana karibia kila kitu kwanza wengi wao hua hawana shape..ukiacha wale wenye asili ya kitutsi wenyewe ni weusi warefu na pua kuchongoka..ila ni kama waha tu kimsingi...cc nyarubanda...
Exactly,huyo mama analake jambo tu.
 
Mbona hao warundi ni kama waha tu. Au labda watutsi nao wanakimbilia Kigoma badala ya kukimbilia Rwanda ?Wanawake wa kiha hawajui mapenzi ama ? Ila wana heshima kweli kweli.
Nimependa Hilo neno la mwisho ulilotumia 'Kweli kweli'
 
Back
Top Bottom