Maulizo;ada ya shule ya jitegemee sec.school

Jerry santonga

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
642
550
Habari wakuu naomba kuuliza ada ya shule ya sekondari jitegemee Dar es salaam ni kiasi gani kuna ndugu yangu anahitaji kujiunga hapo kidato cha tatu
 
Habari wakuu naomba kuuliza ada ya shule ya sekondari jitegemee Dar es salaam ni kiasi gani kuna ndugu yangu anahitaji kujiunga hapo kidato cha tatu
Ngoja waje! Au wamelala au wako HAI kwa wanamsaidia jamaa kubalance hesabu za matibabu ya Mhe. Lisu!!
 
Ila kwa manufaa ya mtoto usijisumu kumpeleka pale.

Jichange umpeleke shule bora na sio bora shule kama hiyo Jiteute/Jitegemee.
 
Kwa hapo Temeke tafuta shule inaitwa Louis Montfort ipo yombo ni shule nzuri sana.

Au angalau St Anthony ingawaje nayo si nzuri sana kwa sasa.
 
Mkuu usinipoteze lakini nakuheshimu sawa ntaiweka katika machaguo yangu
Screenshot_2017-09-29-23-09-31.jpg


Screenshot_2017-09-29-23-09-48.jpg


Hii ndio Montfort imekuwa ya 15 kimkoa na 160 kitaifa.

Kumbuka hapa dar kuna shule vigongo haswaa ukianzia na ;

Feza boys &Feza Girls,St Joseph Cathedral,Canosa, Tusiiime ,Alpha,Barbro Johannson,Loyola,Shemsiye, Kent,Kenton,Green Acres,St Marrys lakini imejitahidi ikawa ya 15 si kitu kidogo kwa kweli na baadhi ya masomo imefanikiwa kuingia 10 bora kimkoa.
 
Back
Top Bottom