Maulid Said Mtulia umepotoka!

Maulid Said Mtulia umepotoka!

Watu tulikesha Pale biafra Kwa ajili yake leo hii katuona sisi Wapumbav

Ova
 
Mkuu mimi.mwenyeee nilishiriki kampeni za mtaa kwa mtaa kuanzia kwa koma koma hapo mpaka kwa kopa mpaka bondeni kule, In fact Mtulia alipita kwa nguvu za wananchi tulikuwa tumeichoka ccm. Lakini mtu tuliyemwamini ametuangusha

Kweli njaa mbaya sana
Nimiashia kucheka tu nikifikilia jinsi tulivyoanza kumtoa diwani wa cc kata ya makumbusho Mr mtayoba kumuweka harubu tulivyofanikiwa kuchukua udiwani tukaanza mikakati ya kuchukua Jimbo kutoka Kwa iddi azzan tukafanikiwa nakumbuka tulikesha Mimi nikiwa mmoja wao ambaye tulitumia mpka pesa zetu za mfukoni ilimradi CCM tuifute kinondoni bodaboda na gari zote tulizo tumia Kwa kukodi na kuanzima zilikunywa mafuta mpaka zikatapika tulijitajidi kutumia pesa zaidi ili watu wetu wasije wakashawishika Kwa pesa nikafikilia muda na pesa niliyotumia naishia kucheka tu
 
Mkuu mimi.mwenyeee nilishiriki kampeni za mtaa kwa mtaa kuanzia kwa koma koma hapo mpaka kwa kopa mpaka bondeni kule, In fact Mtulia alipita kwa nguvu za wananchi tulikuwa tumeichoka ccm. Lakini mtu tuliyemwamini ametuangusha

Kweli njaa mbaya sana
Naishia kucheka tu wajinga sisi hahahahahaha
Muda na pesa niliyotumia kwake bora ningetumia bar at least nafsi ingefarijika sna
 
Watu wapo kwa maslahi yao binafsi amkeni mdai katiba mpya

Hamna zaidi ya hili, yaliyobaki yote Ngonjera, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, yakifanikiwa haya Magu atarudi kuwa mpole si kawaida, vinginevyo ni maumivu tu kwa wapinzani.
 
Back
Top Bottom