Maulid day ni lini?

ndavandava

Member
Jun 18, 2015
94
37
Jamani, naomba kujuzwa. Kwa anayefahamu, Maulid Day itakuwa kesho au keshokutwa?

Maana hapa kazini kwetu kuna baadhi ya kalenda zimeonyesha kesho na nyingine ni keshokutwa.
 
Tarehe 23/ Dec ni mkesha na tarehe 25 ndio Maulid day yenyewe, hii ni kwa mujibu wa tamko la BAKWATA.
 
Asante kwa taarifa hiyo ndugu yangu sinafungu, tuakuwa na mapumzio ya long weeend 24/12/2015 kazini tena itakuwa 28/12201.
 
Mkesha 23 Dec. Na Holiday 24 Dec. 25 Dec Christmas Na 26 Dec Boxing Day!!
 
Mkesha 23 Dec. Na Holiday 24 Dec. 25 Dec Christmas Na 26 Dec Boxing Day!!
Hii inanoga zaidi Kama mfukoni/ bank account inaruhusu. Ukiwa arosto utatamani Dunia ipasuke uingie kujistiri.
 
Kama ilivyotolewa na Bakwata
 
Attachments

  • 1450789885632.jpg
    1450789885632.jpg
    26.2 KB · Views: 616
watu wabida bwana mnaulizia sherehe zisizo na maana ktk dini yenu.hakika yule mwenye kuzidisha jambo juu ya dini ya mwenyezimungu moto utakuwa makazi yake.
 
Jamani, naomba kujuzwa. Kwa anayefahamu, Maulid Day itakuwa kesho au keshokutwa?

Maana hapa kazini kwetu kuna baadhi ya kalenda zimeonyesha kesho na nyingine ni keshokutwa.
Soma hapo
 
Attachments

  • 1450793382350.jpg
    1450793382350.jpg
    26 KB · Views: 401
Inahusika na nini hasa Maulidi?? I mean ni nini kinasherehekewa.......kwa wahusika tu
 
Back
Top Bottom