Iyo application ni free mbona kwenye app store
duh ni kwl mkuu nilichangaya hapo hana jinsi anabidi au jailbreak na a install an app called installous kutoka cydia ata pata like 90% za app zote from appstore for free (paid and free)mkuu WhatsApp ni free to all other supported Mobile platforms for the first year lakini kwa iOS ni $0.99 sio free
Kapewa zawadi, na siunajua mambo yakutoa cc online wizi mwingi...Sitaki kuamini kabisa kama mtu umenunua iphone kwa zaidi ya $800 af unashindwa kununua whatsapp kwa $0.99!!!!!
Wakuu natumia iphone sasa naitaji kupata ile application ya whatasp kuna maujanja yoyote yanaweza kufanyika? I mean kwa kupata ile application kwa free
Sitaki kuamini kabisa kama mtu umenunua iphone kwa zaidi ya $800 af unashindwa kununua whatsapp kwa $0.99!!!!!
uoga wenu tu',,Kununua kitu online bwana tena kwa kuweka detail zako za bank kuna siku unaweza kukuta salio lote jamaa wamelamba
duh ni kwl mkuu nilichangaya hapo hana jinsi anabidi au jailbreak na a install an app called installous kutoka cydia ata pata like 90% za app zote from appstore for free (paid and free)
ntakununuliaje wakati Apple ID yangu nimeiLink na Credit Card yangu, ni ngumu lasiivyo unataka nikupe ID yangu na password,,,, ushauri: tengeneza Apple Account yako, link na credit card yako ya crdb, exim, stanbic etc yenye visa, mastercard etc ununue, ni rahisi na hawaibi hela..Ishu sio kinunua tatizo bwana ni kuweka details zako za bank online huo utamaduni hapa tz bado ujaingia vizuri. Kama wewe unaweza basi mimi nakupa cash then ubuy 4 me
How to Download Installous and Install fromCydiaKaka toa maujanja hayo ya kwa kutumia installous, cydia ipo kwenye iphone yangu
tatizo hujajibu unatumia IOS ngapi na iPhone gani kama nlivyokuuliza!! kama hutumii IOS 6 unaweza kuelekezwa kuJailbreak ukapata hizo applications bure bila hata kuwa na Apple Account,,Haya ndugu thanx any way