ilimaliza kudownload successfully?Nimeinstall hiyo installous iLa inaniambia API unavailable plz help
ilimaliza kudownload successfully?
![]()
ikimaliza vizuri itaonyesha "complete" hivi
![]()
ilimaliza kudownload successfully?
![]()
ikimaliza vizuri itaonyesha "complete" hivi
![]()
unatumia IOS ngapi? na umedownload Installous 4 au 5?Yes nimefika kote huko ila niki istart program yenyewe inakubali ila nikiingia kwenye categories inafanya request mwishowe inanipa message error ya API
iPhone 4s inayotumia IOS 5 Jailbreak kwa kutumia Absinthe 2.0.1 nimeiAttach hapa. utaiDownload, Instal kwenye computer, ifungue alafu chomeka simu kwenye computer alafu gusa "Jailbreak". itazima na kujiwasha, baada ya hapo itakuwa Jailbroken!! fuatilia hapo juu namna ya kuweka hiyo Installous kupitia cydia ili uweze kudownload applications bure!!Moja ni iphone 4s natumia 5.0 nyingine ni 3g ina 4.1 eh nipe maujanja
Some times installous inazinguaga but uku its working fine now so tatizo might something else a check kama ame install au ime installiwa app sync kwny cydia kama haipo haitakubali. If not there a unistall installous, alaf a install app sync kwanza then installous. That might make it to work au another process.. (app sync must be installed)unatumia IOS ngapi? na umedownload Installous 4 au 5?
unatumia IOS ngapi? na umedownload Installous 4 au 5?
pamoja,,😛oaNashukuru mkuu imekubali na nimedownload whatsapp buuuuure.....thanks alot
Du hapo ndipo utakapo wataka iphone no free, ungekuwa na aina nyingine ya cmu wala usingepata tabu ni kudownload bure na ku enjoy. Pole sana kuwa cmu kama hiyo halafu usitumie whaatsApp inakuwa sio vizuri.
Ishu sio kinunua tatizo bwana ni kuweka details zako za bank online huo utamaduni hapa tz bado ujaingia vizuri. Kama wewe unaweza basi mimi nakupa cash then ubuy 4 me