Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa

Arabian queen

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
2,557
4,824
JINSI YA KUMKALISHA MWANAUME WAKO HOME WEEKEND

Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti.

Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioni

Hivyo wanandoa wengi hili limekuwa tatizo mwanaume kiguu na njia asb mchana na njia kumuacha mama na watoto.

Nini kifanyike hasa weekenda Mwanaume ashinde NYUMBANI akikupumzikia??

Zipo njia nyingi mojawapo SUPU YA WEEKEND NA MAZUNGUMZO NA MKAO

Ni kweli wanawake wengi hamjuagi kuwakalisha waume home.

Anza hivi
Siku uko home wewe amka mapema kabla yake anza makeke jikoni…

Mara blenda priiiii… juice… ama milk shake…. hahahaha..Utaona anasogea jikoni..

Wakati anakunywa juice ama milk shake…Anza kukuna nazi…

Chambua mnafu…

Hapo jikoni kuna kanyama kanachemka… katia kitunguu tupia viazi 2 na ndizi.Hahaha..

ile harufu ikianza kutoka utasikia anafuata maji jikoni… hahahaha kwenye friji… wala hatumi..

Hahaahha… utasikia nini kiko jikoni?Hahahaa.

Mmiminie supu…

Na ndizi mbili na kiazi kimoja kapilipili mbuzi pembeni..

Muulize kuna chapati…Mpe.. hahahahaha..Akimaliza supu nakuapia atasinzia..

.Akishtuka ugali na mnafu na nyama umeiva…Mpe ale..Mshushie na glass ya mtindi…Hahahaha..

analewa full Hata kama kuna mama junior anaambiwa usipige…

Hahahahahaha….Baada ya hapo acha apumzike… aoge…

Kisha funga ka khanga kako kepesi jilaze pembeni.. woiiiiiiiii..

Mkimaliza muombe pesa ya sokoni…

NAKUAPIA HATA KAMA JANA YAKE ALIKUPA ATAKUPA TENA.

Hahahahaha.. jamani…

Hahahahaha… yani kwa raha ya supu… nakuapia utaambiwa hata mama alipiga simu jana… hahahaha.. ama utasikia mamii.. njoo uone njoo… unaitiwa kitu cha kwenye tv.. hahaha.

Hata hujaona mwanzo ila kwa raha yakasupu utaitwa…

Hata kama huna kalio nakuambia utapigwa kibao hata cha mgongo…. hahahahahahahahahaha.

Sasa wewe unaamka chai na mkate kama chuo cha uhazili…
Wali maharage kama jeshi la jangwan
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho sijaona sehemu itakayonishawishi niache kutoka home kwenda kugida mtungi pale kwa Zena. Yule binti ukiwa unakunywa akiwa anakuangalia, hakika ulewi.

Hivi ntaachaje kwenda kukamata kongoro kwa Zena jamani??

Hebu wadanganye wenzio mbinu nyingine tafazali.
 
Amemaanisha wana ndoa playboy kaa mbali na uzi aku!!!! afu hyu kungwi ni wa ke,me mpite kmyamya!!!
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho sijaona sehemu itakayonishawishi niache kutoka home kwenda kugida mtungi pale kwa Zena. Yule binti ukiwa unakunywa akiwa anakuangalia, hakika ulewi.

Hivi ntaachaje kwenda kukamata kongoro kwa Zena jamani??

Hebu wadanganye wenzio mbinu nyingine tafazali.
Kwani tunapoondoka home kunakuwaga hamna vyakula au?!
wanaume nyie .ndo maana tunapiga punyeto mbele yenu
 
JINSI YA KUMKALISHA MWANAUME WAKO HOME WEEKEND

Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti.

Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioni

Hivyo wanandoa wengi hili limekuwa tatizo mwanaume kiguu na njia asb mchana na njia kumuacha mama na watoto.

Nini kifanyike hasa weekenda Mwanaume ashinde NYUMBANI akikupumzikia??

Zipo njia nyingi mojawapo SUPU YA WEEKEND NA MAZUNGUMZO NA MKAO

Ni kweli wanawake wengi hamjuagi kuwakalisha waume home.

Anza hivi
Siku uko home wewe amka mapema kabla yake anza makeke jikoni…

Mara blenda priiiii… juice… ama milk shake…. hahahaha..Utaona anasogea jikoni..

Wakati anakunywa juice ama milk shake…Anza kukuna nazi…

Chambua mnafu…

Hapo jikoni kuna kanyama kanachemka… katia kitunguu tupia viazi 2 na ndizi.Hahaha..

ile harufu ikianza kutoka utasikia anafuata maji jikoni… hahahaha kwenye friji… wala hatumi..

Hahaahha… utasikia nini kiko jikoni?Hahahaa.

Mmiminie supu…

Na ndizi mbili na kiazi kimoja kapilipili mbuzi pembeni..

Muulize kuna chapati…Mpe.. hahahahaha..Akimaliza supu nakuapia atasinzia..

.Akishtuka ugali na mnafu na nyama umeiva…Mpe ale..Mshushie na glass ya mtindi…Hahahaha..

analewa full Hata kama kuna mama junior anaambiwa usipige…

Hahahahahaha….Baada ya hapo acha apumzike… aoge…

Kisha funga ka khanga kako kepesi jilaze pembeni.. woiiiiiiiii..

Mkimaliza muombe pesa ya sokoni…

NAKUAPIA HATA KAMA JANA YAKE ALIKUPA ATAKUPA TENA.

Hahahahaha.. jamani…

Hahahahaha… yani kwa raha ya supu… nakuapia utaambiwa hata mama alipiga simu jana… hahahaha.. ama utasikia mamii.. njoo uone njoo… unaitiwa kitu cha kwenye tv.. hahaha.

Hata hujaona mwanzo ila kwa raha yakasupu utaitwa…

Hata kama huna kalio nakuambia utapigwa kibao hata cha mgongo…. hahahahahahahahahaha.

Sasa wewe unaamka chai na mkate kama chuo cha uhazili…
Wali maharage kama jeshi la jangwan
Unaonekana arabian queen uko vizuri sana hebu tucheze hyo game karibu sana kwangu nakaa barabara ya 4 kwa taifa road
 
Sijaona hata moja hapo la maana, kila mwanaume ana namna yake kutulizwa nyumbani na wala sio kula kula ndio kutamkalisha, binafsi mume wangu hapendi kula kula hovyo na *weekend ikifika mimi huamka asubuhi na kumtuma mtoto akamnunulie magazeti huku namuandalia maji ya kuoga yaliyoungwa (Monday to Friday ni ngumu kufanya hili kutokana na majukumu ya kikazi tuliyonayo)
*Kisha humuandalia breakfast yake nyepesi ya Muhogo wa nazi na samaki (hayo ma supu supu yeye sio mpenzi)
*wakati anajipumzisha akipitia pitia magazeti na vipindi vya kwenye Tv huku nikiwa naandaa mboga kwa ajili ya chakula cha mchana (mara nyingi ni ugali)
Lakini pia huenda kuchukua Daftari letu La mapato na matumizi ya vijimiradi vyetu na baada ya hapo huwa tunalipitia pamoja na jioni hutoka kwenda kukagua uhalisia wa mzigo uliopo dukani
*Siku ya jumapili huwa tunakwenda kufunga mzigo uliopungua dukani
NB.Hii ni ya kwangu mimi kutokana na Tabia za mwenza wangu na wala sio principle kwa kila mwanaume, wa kwangu si mlevi na hatumii kilevi cha aina yoyote ile
 
muhogo wa nazi? unatisha
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho sijaona sehemu itakayonishawishi niache kutoka home kwenda kugida mtungi pale kwa Zena. Yule binti ukiwa unakunywa akiwa anakuangalia, hakika ulewi.

Hivi ntaachaje kwenda kukamata kongoro kwa Zena jamani??

Hebu wadanganye wenzio mbinu nyingine tafazali.
Mi nilidhani baada ya supu kale ka gilasi ni ka nanilii kumbe mtindi tu, atakuwa amenipa nguvu ya kulifuata Lisekelo tu.
 
Back
Top Bottom