Maujanja ya Computer haya(Must read)-No 3

Mkuu class iko poa sana, ila tu napshana nalo sa sjui nifanyje ili niskose, huwa ni eveyday au na mda ni saa ngpi? Ungweka muda ili mida hyo tujue uko hewani tuingie. Ila thnks a lot mkuu

Mkuu hapa hamna time...kila nikiwa na time tu naweka vyombo, bt ngoja niseme may be kwa wiki naweza kubandika etlist mara 2...so we pitiapitia tu hili jukwaa ukiwa na time.
 
Thanks mkuu
 
Daaa hii nilichelewa naona, asante sana mkuu kwa msaada wako
 
Hiyo kuandika jina kwenye saa inafanya kwenye windows zote au ni xp peke yake,maana nimejaribu kwenye windows 7 imekataa!!!
 
Hiyo kuandika jina kwenye saa inafanya kwenye windows zote au ni xp peke yake,maana nimejaribu kwenye windows 7 imekataa!!!

It works fine with XP...ujue maujanja mengi hapa ni XP, bt smtms works in W7
 
Uko juu kaka. Umenitoa kifua mbele kwa maujanja. Keep up
 
mkuu unatusaidia sana hapa,kuna wakati nili search hzyz maujanja nikayakosa,inakuwaje?
 

Nimekusoma.

Lakini navyojua Trial version huwa hazina full features. Pia kama upo nchi ambazo wako strict na copy rights unapofanya haya maujanja inabidi uwe mwangalifu usije ''ukaishia shimo la hewa''.

Kuhusu USB inawezekana ulishaeleza kwenye ''darasa 1 au 2'', lakini kama hujaeleza, nafikiri wanafunzi watapata faida zaidi kama wakijua faida za NTF dhidi ya FAT ili wafanye uchaguzi sahihi.

Kwenye saa na IP: No comment...
 
Mkuu sasa kwenye trial version nikishadownload na kuinstall that's it i do not need kufanya hivyo every time nikipata new trial version? Msaada pls. Otherwise asante sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…