Maujanja kwenye Twitter

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,285
Reaction score
2,595
๐—ง๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ง๐˜„๐—ถ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜

๐—˜๐—น๐—ผ๐—ป ๐—บ๐˜‚๐˜€๐—ธ alitangaza kuwa sheria mpya ya Twitter ameweka viwango vya watu kuangalia tweets za watu kwenye huo mtandao. Ambapo alisema waliokuwa verified (wamelipia bluetick) ni post 10000 kwa siku.



Watu ambao hawajalipia ni 1000 kwa siku na wale wengine ambao ni wagenj wa Twitter ndo wamejiunga inakua 500 kwa siku.



ikitokea ukapitiliza kutizama post unapokea ujumbe huu kwenye Akaunti yako [emoji116]

โ€œRate limit exceededโ€ au โ€œCannot retrieve Tweets at this timeโ€ hivyo mtu anashindwa kuendelea kutumia Twitter Tena.



relax ngoja nikupe maujanja ya kuendelea kutumia ikitokea umepewa huo ujumbe.
Kuna njia tatu za kufanya ambazo ni
โ€ข kompyuta
โ€ข simu
โ€ข kwa kuweka old extension Twitter

Sasa Leo nakuambia moja tu inatosha [emoji23]
Fanya hivi hakikisha unapakua app au program inaitwa OperaGx: Gaming browser



โ€ข download iyo app
โ€ข ifungue kupitia link hii[emoji116] www.twitter.com/
โ€ข baada ya hapo Login utaweza kutumia Twitter bila limit yoyote [emoji3577]
usisahau kutu follow
Tag's washikaji tujifunze sote [emoji2772]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ