maujanja jamani

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Wataalam mwenye kujua jinsi ya kutumia simu kama bluetooth modem,naomba msaada wa maelekezo,natumia nokia E71,yaan nataka kutumia simu yangu kama modem kwa kuunganisha ktk kompyuta kwa bluetooth,natumia window 7 ktk kompyuta
 
wataalam mwenye kujua jinsi ya kutumia simu kama bluetooth modem,naomba msaada wa maelekezo,natumia nokia e71,yaan nataka kutumia simu yangu kama modem kwa kuunganisha ktk kompyuta kwa bluetooth,natumia window 7 ktk kompyuta

kwanza tafuta nokia pc suite(tafuta katika mtandao wa nokia) alaf install in your computer then tumia hiyo software kuconnect computer na simu yako theni connect na internet.....
Ukifanikiwa leta feedback
 
Wataalam mwenye kujua jinsi ya kutumia simu kama bluetooth modem,naomba msaada wa maelekezo,natumia nokia E71,yaan nataka kutumia simu yangu kama modem kwa kuunganisha ktk kompyuta kwa bluetooth,natumia window 7 ktk kompyuta

Easy way tafuta joiku spot download tengeneza wireless tumia computer
 
kwanza tafuta nokia pc suite(tafuta katika mtandao wa nokia) alaf install in your computer then tumia hiyo software kuconnect computer na simu yako theni connect na internet.....
Ukifanikiwa leta feedback

pc suit ninayo tayari,ishu ni kuconect kwa blue tooth,maana kwa usb haina shida
 
Unapo washa pc suite na kuconnect ina uliza unataka kuconnect kwa njia ipi, sikumbuki fresh coz niliitumia kitambo but check check on settings, I hope utapata hiyo solution
 
[n]Unapo washa pc suite na kuconnect ina uliza unataka kuconnect kwa njia ipi, sikumbuki fresh coz niliitumia kitambo but check check on settings, I hope utapata hiyo solution[/b]

ok,let me try that
 
kwanza tafuta nokia pc suite(tafuta katika mtandao wa nokia) alaf install in your computer then tumia hiyo software kuconnect computer na simu yako theni connect na internet.....
Ukifanikiwa leta feedback
Feedback gani unayoitaka hapo mkuu..? Kwani Nokia PC Suite ina access ya bluetooth connection tangu lini? Sikiliza mtoa mada; nenda kwenye maduka ya stationery ulizia bluetooth adapter (bluesoleid), huwa iko kama flash. Watakupa maelekezo yote hapo, ni simple tu ku-install.
 
Nilipokua na Nokia N73 wakati na connect na pc suite kulikua na hiyo option ya kuconnect kwa Bluetooth, labda version za hivi karibuni wametoa hiyo option
 
Yah ni kweli si n73 ni nokia pc suite zote zinaconect na bluetooth jamaa halijui asemalo
 
kama ina bluetooth, tumia hii pc suite (link--> PC Suite) ya zamani, ya siku hizi doido nyingi tu (uninstall kwanza mpya kama unayo) then fuata haya maelekezo (hakikisha umetoa kila kitu cha nokia kwa uninstall a program)
1. kwanza install hii pcsuite (duhh!!)

2. ukifungua nokia pc suite, chagua click here to make a new connection
2q8dmd4.jpg

3. piga next hapa ukiwa tayari bluetooth yako ya pc na ya simu zikiwa on
1z50z8n.jpg

4. chagua connection yako (in this case bluetooth)
2134vwm.jpg

5.kwa simu yako, uchague connect via pc suite ikishasoma kwenye pc yako (kwa kutokuwepo na nokia, utanisamehe kwa kushindwa kuongeza more screenshots)

6. presto!! u are connected

not connecting??
hakikisha bluetooth ya pc na ya simu zipo on na visibility ya bluetooth ya simu ipo on

ukipata hii error..

1zxwg2u.jpg

ujue laptop yako haina bluetooth
gimme some fedback ukishajaribu,
leh.xx
 
Nadhan aliesema Nokia PC Suite haina bluetooth anaona aibu....usibishe usivyovijua
 
Feedback gani unayoitaka hapo mkuu..? Kwani Nokia PC Suite ina access ya bluetooth connection tangu lini? Sikiliza mtoa mada; nenda kwenye maduka ya stationery ulizia bluetooth adapter (bluesoleid), huwa iko kama flash. Watakupa maelekezo yote hapo, ni simple tu ku-install.

Mkuu upo kweli??? SASA UMEAMINI NOKIA PC SUITE ina option ya kuconnect kwa Bluetooth™
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom