Yap ni pocbo kabisa ila utaweza 2mia kwa operamin na uc browser.. Nenda kwenye TCP/IP kwenye apn name weka v na kwenye apn settings weka v hzo v namaanisha ni alama za vema.. Hapo utaenjoy kwa bundle za cheka na youtube as usual..ila uki2mia applicatin kama ya twta na facebook zitakugomea hz znataka bundle za bb.

Jamani me sijaelewa hapa maelezo kidogo nawezaje kutumia bundle la kawaida kwenye Black berry
Comrade tunashukuru,
Facebook/twiter hizi nishachokaga kuzitumia, vip kuhusu WhatsApp nayenyewe itagoma?