Maudhui ya ngono mitandaoni: RC Makonda amtaka Amber Ruty kuripoti kituo cha Polisi

Amber anaonekana habari kwasababu anaweka msura wake lakini XXX hapa bongo zinachezwa na mitandaoni zipo nyingi tu!!



Kwa ushuhuda zaidi inabidi waulizwe CHAPUTA
Xvds.com kna mavideo ya kibongo kibao mule wameacha mpk namba zao....
Naona amber alikua anataka halalisha porn sanaa bongo

Ova
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameandika katika akaunti yake ya Instagram, kumtaka Amber Ruty afike kituo cha polisi.

Nanukuu,

Wakati TCRA wakijipanga kuchukua hatua, mimi namtaka mwenye picha hii kufika kituo chochote Cha Polisi kilichopo karibu na eneo lake kabla ya 12 jioni. Na ukifika waambie umeitwa na Rc Makonda watakupatia ujumbe wako.

Pia soma >Maudhui ya ngono mitandaoni: Wema Sepetu kikaangoni bodi ya Filamu. BASATA haimfahamu Amber Ruty. Waziri Shonza ang'aka - JamiiForums

Hiv huyu amber ruty ndo nani au ni amber lulu!!??? Yes
 
Back
Top Bottom