Maudhi ya mke, funguka

Namtafuta mamaafacebook
kumbe hajafika huku,,,! mimi narudi atakayemuona aniite.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nichangie na mimi.
Wanaume inabidi tufahamu kuwa nguvu ya mwanamke ipo mdomoni. Hata kama sio mkeo, mwanamke utamzidi vyote lakini kwenye kuongea halo lazima ukae. Sasa kwa sababu anataka akuumize kama vile wewe ulivyo/unavyomuumiza basis atakutamkia neno au maneno ambalo anajua litakuchoma mpaka ndani.
Kwa mwanaume tusi kubwa ni kudhihakiwa urijali wake, au kuambiwa kina mwanamme zaidi yake ( tunapenda kuwa the best kwa wake zetu)
Silaha kubwa ya kupambana na mwanamke ni tatu.
Kwanza ni kunyamaza na ku-react tofauti na alivyotegemea.
Pili kumbembeleza hata kwa kuomba msamaha wa uongo.
Tatu ni mabavu ambayo yanajumuisha kumlamba walau Kibao akivuka mstari wa kuongea.
Njia ya tatu haishauriwi sana na ila huwa inasaidia kujenga nidhamu ya kudumu.
Kwa uzoefu binafsi, wakati mwingine huwa Nazi miss kelele zake hivyo humchokoza makusudi kisha baadae nambembeleza.
Ni viumbe wazuri wenye mapenzi ila watata kama sisi unapowakorofisha. Lakufurahisha ni kuwa pamoja na tote in watu muhimu sana, tunawapenda na kuwahitaji
 
Wewe unajiandaa kuoa JEKI

kwa nini unasema hivyo ram? mimi nawaandaa kisaikolojia tu wanaotamani kuingia kwenye ndoa ili wasije kuwa frustrated.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram

kweli kabisa mkuu, ulipoongelea utata wa wanawake nikamkumbuka kuna jamaa humu anaitwa tajiri mtata.
 
Last edited by a moderator:
Yap
Tena za zilizofungwa roma nyingi zitavunjika rasmi coz zilishavunjika cku nyingi huku kitaa watu wakaoa na kuolewa upya kwny makanisa ya kilokole

Hahaha, heshima itarudi lakini, viburi vitapungua
 
Haya bhana walume wenzangu nimesoma yote!!!!
Tuwavumilie, tuwapende , tulee familia!!!
 

Heshima kwako mkuu. Comment yako imenibariki.
 
Wewe hujiandai best?

kwa nini unasema hivyo ram? mimi nawaandaa kisaikolojia tu wanaotamani kuingia kwenye ndoa ili wasije kuwa frustrated.
 
Last edited by a moderator:
Wewe hujiandai best?

katika hoja hii mimi ndo mwalimu nawafundisha wengine, labda useme na mimi napanua uelewa kupitia michango ya wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…