Maudhi ya mke, funguka


Aiseee!!! Safi sana, kama wewe ni mwanaume ubarikiwe kuliko wanaume wote duniani.

Ni kweli wanawake tunaongea sana lakini hatuongei hivihivi tunaongea tukichokozwa,ukikosa adabu jua mkeo ni mara mbili yako,ila wanaume ndo wenye maneno mabaya sana akiongea neno moja tu linaenda kuchoma mpka kwenye uvungu wa moyo.

BTW Matatizo au hayo maudhi hayafanani hata kidogo kila mtu ana changamoto zake na hayo maudhi yanayotokea ndo yanatukamilisha tukawa wakamilifu.

Halafu utajadilije tatizo wakati tatizo lenyewe halijakupata,mnaingia kwenye ndoa na defense mechanism nyiingi sanaa mguu nje mguu ndani cheche tu ilitokea ushakimbia mpaka unataka kuvunja miguu utafikir ni bomu limelipuka,mnayachokonoa matatizo wenyewe yakija mnapiga kelele wakat ni vitu mlivyovipanga wenyewe.
 
tena siku hizi ameanza tabia mbaya!!!
tukiwa tunagegedana yeye anaongea na simu tena bila wasi wasi na anayeongea naye hagundui kama mtu anagegedwa!!!

Yaani kama naona vile dah! watu wengine mnajua kuamsha nyege za watu!
 
Wanaume wengi Tunakufa mapema Na mashinikizo ya damu kutokana na karaha za wanawake believe it or leave it
 
hahaaaaa leo kazi ipo.....ngoja nirudi kuleeeeeeee kwa miss chagga ndio kumenoga..
 
Mwanamke kabla hajaolewa,ni mkalimu kweli kweli.Ni kama kondakta wa daladala,wakati wa kupanda utabembelezwa sana.Sasa subiri muda wa kushuka.utasikia mara huniridhishi,Kibamia,najuta kuolewa na wewe.Mbwembwe zote za kparty,sendoff,zilifanywa na wewe wewe
 
mmh! huyu anakuwa anatania au ni serious ? mbona kazi ipo kama ndio hivi
 
mmh! huyu anakuwa anatania au ni serious ? mbona kazi ipo kama ndio hivi

hataniwi mtu hapo..na ukicheche ukimwita mke wangu anakujibu mbele za watu nani mke wako hapa???
 
hataniwi mtu hapo..na ukicheche ukimwita mke wangu anakujibu mbele za watu nani mke wako hapa???

Pole mkuu mwambie Mungu ashughulike na ndoa yako maana huyo ndiye mwanamke aliyetoka ubavuni mwako mwambie Mungu amshughulikie amrekebishe na wewe urekebishwe ili yeye afit kwenye ubavu wako
 
Pole mkuu mwambie Mungu ashughulike na ndoa yako maana huyo ndiye mwanamke aliyetoka ubavuni mwako mwambie Mungu amshughulikie amrekebishe na wewe urekebishwe ili yeye afit kwenye ubavu wako

haya ni majanga ya wengi mkuu..ila sometime to forget is the best revenge
 
Maudhi ya Mke yanaenda sambamba na maudhi ya Mume , Haiwezekani Mwanaume wewe
1- Ukiwekewa chakula hapo unakulaaa mpaka unaramba sahani , halafu hata Ahsante Mke wangu kwa chakula hakunaa
2- Haiwezekani nakutayarishia Nguo ya kuvaa badala yake unaacha unakwenda kuvaa Mtisheti na Msuruali wa rangi moja kama bachela !
3-Haiwezekani nakukaribisha kwa tabasamu na kukupa pole na kazi ingawa hata mimi nimetoka kazini halafu unausugua tu hata kujibu hujibu !
4- Haiwezekani nikuombe hela la saloon kwa deko kama mume wangu halafu uniambie Mshahara wako unafanya nini? ohooo unnecessary

Utategemea sisi tutaendelea kunyenyekea tu ! No way Baby ....:sorry:
 

mlianza wenyewe kusupot utandawaz ooo wa zaman niwashamba hawako uptodate,unyago mbaya wanakatwa ule utamu,wenyewe mnakumbuka unyago hatari. FGM ilikuwa inapractiziwa but walifundishwa kazi kwelikwel akikuibia mune harudi japo hujakatwa uko airtel tangu mwanzo
 

mwanamke mpk aseme hvyo mkuu kipo ulichomfanya ina mana anakurupuka tu na kusema ayoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…