Maudhi ya mke, funguka

Yaani hii ndio komenti ya mwanaume!!!!!!



 
Usinilete ndugu zako sijatoka kwetu kuja kupikia visiki hivi.
nilidhani mwanamme wa mana kumbe huna lolote bora hata ningeolewa na yule jamaa wa BOT wewe kichefuchefu tuu..
kwanza kwenye siata kwa sita wala hujui mapenzi si basi,nyamaza nikustiri huyo mtoto kapatikana kwa juhudu zangu..
kwanza kuvaa hujui halafu mmm jasho lako kaliiiiiiiiiiiii mie hata sijui kama ntaweza kukuvumilia kituko wewe..
Hao wanao kutaka wangejua kama huna hata moja si basi tuu,kwanza hata mie najiuliza ilikuwaje nikakubali kuolewa na wewe au umeniroga?
 
Huu ni mwaka wa nne naishi na mke wangu wa ndoa nilimuoa nikiwa na miaka 24....Namshukuru Mungu ndoa yangu haijawahi kupata kashi kashi ukiachana na changamoto za kawaida tulizoumbiwa binaadamu.Ila huwa kuna mauzi mawili kutoka kwake ambayo kwa kweli ukikaa chini na kuwaza utagundua ni haki yake kusema hivyo
1.Nakwambiaje Rural Swagga mume wangu usipooga leo hapa kitandani hulali ( ni saa nane za usiku kuelekea saa tisa nina safary lager kama 12-15 kichwani)
2.Nilishakukataza kuvutia sigara humu ndani kwangu ....baba naniii mbona hunielewagi wewe mwanaume.
 
dah hongera mkuu kwa kuwa na ndoa yenye amani,sasa si uache malager na masigara yako mkuu?kwani utapungukiwa nini ?
 
duh,,,, wengi tunaugulia maumivu mno,,,,, but ikifika mahali inagota.....quiting....
 

Kelo:what:
 
mwanaume ambaye anaappreciate hivi raha sana..
Maudhi ktk ndoa lazima yawepo hasa ukizingatia hamkukua nyote kila mmoaja alilelewa na tabia yake..so kuvumiliana na kujishusha ndicho cha muhimu



 
dah hongera mkuu kwa kuwa na ndoa yenye amani,sasa si uache malager na masigara yako mkuu?kwani utapungukiwa nini ?
Nikwambie Blue G ni shetani tu na muda si mrefu nitamshinda.....usiwaze kamanda naifanyia kazi hii kitu
 
Last edited by a moderator:
wanamatatizo hao.... wengine wanataka mapacha tu!
 
mwanaume ambaye anaappreciate hivi raha sana..
Maudhi ktk ndoa lazima yawepo hasa ukizingatia hamkukua nyote kila mmoaja alilelewa na tabia yake..so kuvumiliana na kujishusha ndicho cha muhimu
thank u for compliments.....God bless u
 
Talaka ndani ya ndoa RUKHSA, kama hili likiamuliwa basi wanawake wengi watalifurahia sana.

Sasa hivi Vatican wanajadili kuhusu talaka, nasubiri majibu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…