grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 248
- 339
Nimebebembeleza yanazidi mkuu...maudhi ya laivu aiseeKausha timiza wajibu mbembeleze muwe karibu
Nyati hachoshwi na pembe zakeAise wakurugwa, mlioweza mumewezaje....Leo asbuhi nimeamshwa na Kofi zito la mgongoni nikiwa usingizini...bila sababu yoyote..Mimi nikimlabua huyu mtoto wa baba mkwe huyu.
Nitajikuta Tena mahabusu.
Maudhi yanazidi aise..Bora nikatize likizo nirudi nilipotoka[emoji119]