Mauaji yanayoendelea nchini Burundi

Mauaji yanayoendelea nchini Burundi

Sweetheart kuna mambo yanagusa hadi yanatia hasira. Ile hali ya ubinadamu na kujali binadamu mwenzako inapokujia huwezi kufurahia kuona binadamu wanauana tuu kisa madaraka.

Natamani itokee mamlaka iwadhibiti hao wanasiasa wa Burundi watawaliwe na umoja wa afrika hata kwa miaka 5 kisha wakikaa sawa ndo wajitawale upya.
Kinachoendelea kule si kizuri.... halafu kuna watanzania wanaishi kule. Fikiria mmoja wa walipa kisasi kakosea risasi ikamuangukia mtanzania au hata mrundi. ..... yaani hadi hasira.

Mi naona kitu lazima kifanyike wasitazamwe tuu.
Utakuwa na vinasaba vya huko nini?.
Urundi hamna natural resource, so "hakuna anayependa kufanya kazi ya kulinda amani bure"
 
Back
Top Bottom