Mauaji yaliyofanywa na polisi Tarime

UMUCHAMICHI

Member
Oct 20, 2012
41
13
Naomba kujua yale mauaji yaliyofanywa na jeshi la polisi tanzania kuua mtoto mdogo huko tarime akitokea dukani alikotumwa ,issue imeishaishaje?na ile ya polisi(traffic) kujiua kituoni hukohuko tarime ,kisa kakosea kuongoza msafara wa rais,haya mambo mbona hatuambiwi mwisho wake?
 
Jambo liko mahakamani usikiongelee chezea serikali ya JK weye,

Acha nchi iende tu kama gari lisilo na bkreki ukisikia kishindo ujue ndo limegita hao Kamanda
 
Back
Top Bottom