Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

Akili hii ingekuwepo kwa hawa askari! Basi Hakuna mtafutaji angewachukia
 
Huyo jamaa nimemshangaa sana!
Unatumia risasi kwa mtu asiyekuwa na silaha.
Hata kama angekuwa na silaha bado kwa askari mwenye mafunzo hakutakiwa kupoteza Uhai wake, tofauti ya askari na jambazi ni kuwa askari ana mafunzo certified ya kujilinda na kupmbana na uhalifu(walipelekwa range kulenga sehemu zaidi za kujeruhi ili kumkamata mhalifu na sio kumuua)
 
kumbe maliasili ni polisi?
 
Akili hii ingekuwepo kwa hawa askari! Basi Hakuna mtafutaji angewachukia
Hakika wengi wao hawajitambui na hawafanyi kazi kama wito bali bora liende hakuna namna wamejikutatu bora kwa sababu ni ajira, hii ni mbaya Sana lisipodhibitiwa, tunapokwenda hizi ajira za majeshi ya ulinzi na usalama inabidi waangalie suala la vetting
 
Hawa jamaa siku hizi wanafanya kazi kwa hatari sana.
Na wao muda wote wanatembea kwa kujihami wakiwa na sime,majambia,mapanga na visu. Wakikutana na hao askari wa maliasili inakuwa vita, usichukulie poa.
Jamaa hawaogopi,akari anafyatua risasi wao wanarusha mapanga na mawe.
Watu wamechoka.
Mama nae hataki kusikia kuhusu mkaa
 
Hawa ni binadamu sio kuku au mbuzi ni binadamu kama Mimi , wewe na yule .....uhai wao ni wathamani kama Mimi , wewe na yule ......
Nimeumia sana sababu sidhani kama wao waliweza kujitetea kwa kutumia silaha za moto kama waliowatoa uhai.

najua waliotokea maisha ya ushuani hawawezi kuelewa sababu kila kitu walikua au wanakikuta mezani ila wapo wanaoelewa ugumu wa haya maisha mpaka inabidi wafanye hizo kazi familia iweze kula wanaelewa.

Binafsi nimeumia sana na Mwenyezi Mungu azisimamie familia zao zilizobakia maana watafutaji wameshatangulia mbele za haki.
 
So sad
 
Maskini mwenye sare amuua maskini asiye nayo...

Wezi wakubwa wametulia full Ac.. mkaa tuu mmeua watu kwel
 
Mkuu, hakuna resistance hao jamaa walifanya ni upuuzi wa hizi pimbi za maliasili
 
Kwa Nini hao askari wasiwe bize kulinda hyo misitu isivunwe,wakati mwingine mkaaa unaweza Toka kwenye shamba la mtu .wabunge wa sisi emu hawawezi kututetea wananchi wa Hali ya chini,tunalazimiahana kutumia gesi ambayo hatuimidu gharama zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…