Mauaji ya Tanga

Mungu atuepushe na ujinga huu kwa watu makatili kama hawa.
 
China raia hawana silaha na haya hayatokei!

Cha maana ni kupiga marufuku kumiliki silaha..ni Majeshi TU.

Ila China Majambazi hayavamii vituo vya Polisi kupora silaha
 
China raia hawana silaha na haya hayatokei!

Cha maana ni kupiga marufuku kumiliki silaha..ni Majeshi TU.
Sasa visu na mapanga ni silaha za kijeshi mkuu? Navyo wananchi wasivimiliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…