tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,754
Sidhani kma marehemu alikua n silaha muda huo au aliiacha moro ndio akaja dar......mana walijua hana ndio mana walivamia kwake
Adui mkubwa wa Policcm ni Chadema na CUF, ujambazi wala sio tatizo kwa policcm. Juzi nilimuona kwenye tv afande kova anavyomwaga povu kwenye kamera utafikiri amemfumania mke wake kumbe anakataza msafara wa ukawa akiwa amepata maagizo kutoka kwa bosi zake Lumumba. Ukawa wakichukuwa nchi hawa wakina kova ni wa kufukuzwajeshi la polisi kuruhusu siasa kwenye mambo ya msingi .. waache wavune wanayoyapanda
kupigwa exile kabisaAdui mkubwa wa Policcm ni Chadema na CUF, ujambazi wala sio tatizo kwa policcm. Juzi nilimuona kwenye tv afande kova anavyomwaga povu kwenye kamera utafikiri amemfumania mke wake kumbe anakataza msafara wa ukawa akiwa amepata maagizo kutoka kwa bosi zake Lumumba. Ukawa wakichukuwa nchi hawa wakina kova ni wa kufukuzwa
'vitambaa vyekundu usoni' 'hisia za kigaidi' 'kutoa ushahidi wa kikundi fulani' hayo maneno mbona mnayatoa kwa uoga fungukeni moja kwa moja tuwaelewe kwamba hayo matukio mnayahusisha na uislam, maana mnapochoka kuwaza ndo mnapoangukiaga hapo
Sidhani kma marehemu alikua n silaha muda huo au aliiacha moro ndio akaja dar......mana walijua hana ndio mana walivamia kwake
Sidhani kma marehemu alikua n silaha muda huo au aliiacha moro ndio akaja dar......mana walijua hana ndio mana walivamia kwake
Walijuaje hana??!!
Mtu wa uwezo wake aache silaha Moro ya aende Dar. . . . kwa kazi hiyo iliyompeleka??!!!
Maswali mengi sana. . . . Watu wana silaha za moto ni wa kuwakata na panga??!!!