Mauaji ya Mwangosi

Jan 5, 2011
84
5
Mtuhumiwa namba moja kwenye mauaji ya Mwangosi ni kamanda wa polisi mkoa wa iringa na si vinginevyo, ninaamini kijana aliye pelekwa mahakamni hakujua kama kitendo cha kufyatua lile bomu la machozi kungeleta madhara ya kifo kwani inaelekea hakupata mafunzo ya kutosha kwani alifikiri kwakua ni bomu la machozi basi lingesababisha Mwangosi aliye kama jina la bomu linavyojieleza akasahau kwamba kuha effect ya pressure, hivyo moja kwa moja huyo dogo haja fundishwa madhara ya milipuko, pressure na force ambayo bomu lolote linaweza kuleta endapo litakutana na kizuizi kama lilivyokutana na mwil wa marehemu Mwangosi, nasema hivyo kwakua kuna polisi ambaye nae aliumizwa vibaya na lile bomu

Naommba kuwasilisha

R.I.P MWANGOSI
 
Back
Top Bottom