Mauaji ya kimbari libya??

Mauaji ya kimbari libya??

Mujumba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
853
Reaction score
306
Wanadiplomasia wa Libya wadai serikali ya Gaddafi inatekeleza mauaji ya kimbari wakati ikikabiliana na maandamano.
 
mimi nashindwa kuelewa, hivi hata gadafi akibaki kua rais wa libya, hiyo damu iliyomwagika ya probably watu zaidi ya 200, anajisikiaje?? Is he really comfortable about it?? Haoni aibu wala hakimgusi moyoni mwake?? Mayb sisi hatujajua utamu wa madaraka, but kibinaadamu, this aint fair at all... Aondoke tu, pipo r dying kama siafu..
 
kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom