Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
mambo ya Ngoswe tumwachie Ngoswe mwenyewe.
Ogaden ni sehemu ya Ethiopia yenye wakazi wenye asili ya Kisomali. Eneo hilo limefungwa na hivyo kutopata mawasiliano na sehemu nyingine yeyote ya Dunia. Si ruhusa kwa waandishi wa habari wa nchi hiyo au kutoka nje kuingia katika Eneo hilo. Suala linakuja, ni nini Serikali ya Ethiopia inakificha?
Inachokificha ni mauaji ya Halaiki yanayoendeshwa na serikali ya MELAZINAWI, waziri mkuu wa Ethiopia kwa wananchi wasio na hatia wa OGADEN. Nia ya mauaji hayo ni kutokomeza kizazi hicho na kuwajaza waethiopia wenye asili nyingine hususan 'AMARA', kabila lililotawala Ethiopia kwa miaka mingi. Na kisa hasa cha kufanya hivyo ni utajiri wa MAFUTA ulioko katika jimbo hilo, hivyo MELAZINAWI anaogopa ikiwa utajiri wa mafuta utakuwa chini ya Waethiopia hao wenye asili ya kisomali wanaweza kutaka kujitenga.
Kinachonishangaza mimi, ni kuwa MELAZINAWI mwenye Asili ya KITIGRINYA toka Eritrea alikuwa mstali wa mbele kupigana na utawala wa MANGISTU (Muamara- Amarinya) aliyeliweka kabila lake kama kabila TEULE, na kudharau na kuendesha mauaji holela hususan Tigrinyi pale wanapodai haki zao. Melazinawi aliahidi kuleta haki sawa kwa makabila yote, lakini anachokifanya kwa wananchi wa OGADEN NI MAUAJI YA HALAIKI. Wakati wa njaa hufunga barabara zote kuhakikisha chakula hakipelekwi OGADEN, na kujipatia maelezo mazuri ya vifo vya wananchi hao.
Mbaya zaidi ni pale ambapo Dunia imekaa kimya, na kinachoniudhi sana ni African Union kutosema lolote kuhusu hili suala. Wamarekani wamefyata mkia kwa sababu MELAZINAWI amewaahidi kuwadaka Magaidi na kuwapeleka Marekani. European Union wamekaa kimya kwa sababu Melazinawi amewaahidi kuwapa mkataba wa kuchimba Mafuta pale atapomaliza kuwaua wananchi wa Jimbo hilo hivyo kupata eneo kubwa lakuchimba mafuta bila mgogoro wa wananchi. Haya yote yananiuma sana Roho.
BBC ilifanikiwa kuingia huko kwa siri na ukiiona hiyo taarifa machozi yatakutoka. Waandishi wa KISWIDI waliojaribu kuingia huko na kupata taarifa za mauaji ya Halaiki, wamekamatwa na Serikali ya Ethiopia na wapo mahakamani wakijibu mashtaka ya kuingia katika eneo hili bila ruhusa na kuhusika na ugaidi. Ndugu zangu waafrika hili ni jukumu letu kuzuia mauaji ya HALAIKI, Tusisubiri Wazungu waje watusemee kana kwamba sisi ni Mabubu. Enough is enough, Ethiopia -STOP MAUAJI YA HALAIKI OGADEN.
Vita ya Ogaden haikuanza leo. Hiii vita chimbuko lake ni hii dhana ya "Great Somalia" waliyokuwa nayo Wasomali kabla ya utawala ndani ya nchi yao kusambaratika. Unakumbuka vita vya shifta nchini Kenya miaka ya sitini baada tu ya Kenya kupata uhuru? Isingekuwa msaada wa Uingereza wasomali walitaka kujimegea eneo la kaskazini mwa Kenya. Vivyo hivyo Ogaden. Lakini kilichosababisha ahueni huko Ogaden ni kuvunjika kwa central govenment nchini Somalia na wapiganaji wa Ogaden kukosa watu wa kuwapa misaada ya silaha. Hili la mafuta limekuja juzi tu lakini tamaa ya Wasomali wa Ogaden kujitenga na kuungana na wenzao wa Somalia imekuwepo kwa miaka mingi.very sad ndugu zetu wanauwawa huko kwa ajili ya tamaa ya mafuta. Natumai Ogaden National Liberation Front (ONLF) watapata nguvu tena na kutetea watu wao kama enzi za nyuma ambapo walikuwa na jeshi lao (militia),sijui kama bado kuna jeshi tena huko.
mambo ya Ngoswe tumwachie Ngoswe mwenyewe.
Vita ya Ogaden haikuanza leo. Hiii vita chimbuko lake ni hii dhana ya "Great Somalia" waliyokuwa nayo Wasomali kabla ya utawala ndani ya nchi yao kusambaratika. Unakumbuka vita vya shifta nchini Kenya miaka ya sitini baada tu ya Kenya kupata uhuru? Isingekuwa msaada wa Uingereza wasomali walitaka kujimegea eneo la kaskazini mwa Kenya. Vivyo hivyo Ogaden. Lakini kilichosababisha ahueni huko Ogaden ni kuvunjika kwa central govenment nchini Somalia na wapiganaji wa Ogaden kukosa watu wa kuwapa misaada ya silaha. Hili la mafuta limekuja juzi tu lakini tamaa ya Wasomali wa Ogaden kujitenga na kuungana na wenzao wa Somalia imekuwepo kwa miaka mingi.
Ahsante kwa kutufahamisha. Nalog offNa Kiswahili sahihi ni mauaji ya kimbari. Si halaiki. Na jamaa ni Meles Zenawi.
@Zawadi
Je nikuulize sababu mkoa wa Kagera utamaduni wao na hata mila na desturi unaedana zaidi na waganda je Idd amini alikuwa yuko sahihi au Mkoa wa kageara ukitaka kujitenga basi Kikwete akubali tu wakati mipaka ya kiloni ndiyo inayotambulika
Vipi kuhusu Kigoma ambayo historia inaonyesha ilikuwa ni sehemu za burundi nawabelgiji wakaamu kuigawa kwa tanganyika
Unaweza kumlaumu Zenawi from outside lakini If u stand on his shoes kama muethiopia then hakuna options. Unles useme unaona Ogaden inatakiwa kuwa seheu ya Somalia. Na kwa kesi hiyo ukiwa rais basi wewe zawadi unaweza kujikuta unachia mikoa mingi tu.
Hakuna kibaya anachokifanya Meles Zenawi. Kiukweli Wasomali ni tatizo popote pale walipo na njia nzuri ya kuondoa usumbufu wa Wasomali nikuwatokomeza wafutike kwenye uso wa dunia.
Wasomali hawafai kabisa maana hawawezi ishi na jamii nyingine kwa amani. Lazima sote tumpongeze Meles Zenawi kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutokomeza hawa maharamia
Hakuna kibaya anachokifanya Meles Zenawi. Kiukweli Wasomali ni tatizo popote pale walipo na njia nzuri ya kuondoa usumbufu wa Wasomali nikuwatokomeza wafutike kwenye uso wa dunia.
Wasomali hawafai kabisa maana hawawezi ishi na jamii nyingine kwa amani. Lazima sote tumpongeze Meles Zenawi kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutokomeza hawa maharamia
Hakuna kibaya anachokifanya Meles Zenawi. Kiukweli Wasomali ni tatizo popote pale walipo na njia nzuri ya kuondoa usumbufu wa Wasomali nikuwatokomeza wafutike kwenye uso wa dunia.
Wasomali hawafai kabisa maana hawawezi ishi na jamii nyingine kwa amani. Lazima sote tumpongeze Meles Zenawi kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutokomeza hawa maharamia
Haki ya kujitenga si kosa. Lakini hawa Wasomali wana ndoto ya kuunganisha maeneo yote wanayoishi Wasomali ikiwa pamoja na northern Kenya.Je haki ya kutaka kujitenga ni kosa? Mbona South Sudan wamefanya hivyo hivyo na kusaidiwa na nchi kadhaa zikiwepo za Afrika mpaka ndoto yao imetimia.
Kwa hiyo unahalalisha mauaji ya halaiki yafanywayo na Ethiopia? Samahani bado sijaipata Point yako hapo, kama ni historia uko sawa lakini suala hapa ni mauaji ya halaiki.
Haki ya kujitenga si kosa. Lakini hawa Wasomali wana ndoto ya kuunganisha maeneo yote wanayoishi Wasomali ikiwa pamoja na northern Kenya.
Umesahau vita ya shifta? Sasa hivi nina hakika Eritrea wana "regret" kujitenga na Ethiopia. Raia wake kila wakipata nafasi ya kutoroka nchi wanafanya hivyo kwa sababu Eritrea ni mojawapo ya failed states. Wangebaki pamoja na Ethiopia.