Mauaji ya Habyarimana: Rwanda yaionya Ufaransa

Mauaji ya Habyarimana: Rwanda yaionya Ufaransa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,927
Reaction score
37,770

_91752318_kagame.jpg


Image captionRais wa Rwanda Paul Kagame ameionya ufaransa kuhusu ufufuzi wa uchunguzi wa mauaji wa aliyeluwa kiongozi wa taifa hilo Juvenal Habyarimana



Rais wa Rwanda ,Paul Kagame ameonya kuhusu makabiliano na Ufaransa kufuatia tangazo la wachunguzi wa Ufaransa kwamba watafungua upya uchunguzi kuhusu mauaji ya aliyekuwa rais wa Rwanda Juvenal Habyarimana.

Kutunguliwa kwa ndege yake iliokuwa na wafanyikazi wa Ufaransa mwaka 1994 ilizua mauaji ya kimbari ambapo mamia ya maelfu waliuawa ,hususan watu wa kabila la Tutsi .

Uchunguzi huo umeanzishwa upya ili kupata ushahidi kutoka kwa jenerali aliyetoroka Rwanda Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye anasema kuwa rais Kagame alihusika .

Mwaka 2006,Rwanda ilikata uhusiano wake na Ufaransa kwa miaka mitatu baada ya jaji kumtaka rais Kagame kujibu mashtaka.

source : BBC SWAHILI
 
Back
Top Bottom